Nilimzalisha dada yangu, nitapata laana?

Nilimzalisha dada yangu, nitapata laana?

Haya mambo yapo sana, ila familia huwa zinayaficha...ingawa wengi wanatembea na ndg zao hawafikii hatua kubwa ya kuzaalishana

Ni kweli ila ndugu wa damu/tumbo moja ni nadra sanaaa.
Binafsi nlishawahi tongozwa na ths distant cousin of mine. Nlipotezea tu, ila hata now nikiamua naenda namvua pichu bila wasi wowote.
 
Dada yako ameathirika kisaikolojia, mpeleke kwa wataalam wa saikolojia watamsaidia, lakini ukitumia nguvu ni vigumu kumaliza tatizo lako!
 
mhhhh dada tumbo moja, thubutuuu hiii mkuu biologicaky hata uume haupandi.....huwa siamin suala kma hili so no cmment
 
daah pole sana,nijuavyo mimi wachaga ndio huwa wanatabia hizo za dada na kaka kutembea wote (incest sex). nafikiri mnahitaji mshauri wa masuala ya kiroho zaidi na mungu atawasaidia especially dadako ambaye anaonekana bado amenasa kwako,nenda pale kurasin balaza la maaskofu utapata msaada ndugu yangu
 
Huu mziki mnene...mmetenda laana kubwa ndugu yangu hata sijui mtatubu vipi?

Naelewa unataka kujitoa kwenye hii evil circle inayokuzunguka lakini dada anakurudisha kati kila ukijitahidi kujinasua.Tatizo hapo ni yeye inabidi umsaidie ili aone analofanya si sahihi kama uonavyo wewe kwasababu kwenye mentality yake umeshamzalisha na ana mapenzi na wewe anakuona kama mumewe inabidi mtu aongee nae ili aone vitu kwa perspective nyingine kwamba analotaka haliwezekani kimila,kidini na hata kiutamaduni.Inabidi aeleweshwe jamii inayomzunguka italichukuliaje suala hili?Sisi ni wanaadamu tumeumbwa kwa hisia,akili na aibu na ndio maana tukatofautishwa na wanyama wengine.

Ikiwezekana kaa mbali nae na uhame mji,hao watoto wahudumie lakini ishi kivyako.
 
Laana tu hiyo ..watafute wataalamu wa saikolojia mtasaidiwa.
 
mnashangaa mtu kusimamisha kwa dadake: wengine hadi kwa mama zao!!! hivi hamjawahi kusikia kwenye jamii zenu baba anatembea na bint yake wakumzaa? japo mama kutembea na mtoto wake wakumzaa haipo sana ila ipo
 
Ndg hapa utaishia kudhihakiwa tu,kikubwa watafute viongozi wa kiroho wapate Kukusaidia.
Swala la wana psychology sawa utasaidiwa kufanyiwa canceling ila laana haitaweza kuondolewa kwa style hiyo.
Chukua hatua kama umedhamilia kuikataa kabisa hiyo hali.
 
Laiti wazazi wangekuwa na kamera maofisibi kujua yanayotendeka under thier very roofs!
Aseee ni balaa!
 
Ninafikiri nakuamini kabisa kuwa mwenye uwezo wakulisimamisha hili swala ni wewe...sema kutoka moyon mwako...HAPANA SITAKI TENA na TUBU kabisa,dada ako akija kwanza muambie huhitaji hata kujadili hilo swala,simamia unachohitaji kuwa mkali haswa....
 
Hakuna swali hapo ni upigie mstari tu hiyo ni full laana,
Asee hisia hizo za kusimamisha dushe kwa sister wako ilitoka wap asee....Dah walahi mi haiwezi simama.

Wallahi tena.. mi ata nmuone dada yng bila nguo haiwez kucmama ng'o...sasa jamaa mpk inacmama duuuh
 
Ndo mana mvua zasikuhizi hazieleweki kumbe laana zinaongezeka du!
 
Back
Top Bottom