Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,421
- 7,877
mwanadamu hufanya kosa mara moja lakini isiwe ndio mchezo, na wewe pia inaelekea mchezo unaupenda,mwanamme unazidiwaje kete na mwanamke? yani wanaume wanazidi kupungua siku hadi siku...
Kuzidiwa kete kwake sio kwa namna ufkiriavyo wewe, Kwenye mapenzi hakuna uanaume, unafail kwa mda, na pia kumbuka hawa wanapendana kiasili ya uzao wao sasa jumlisha hapo na mahaba.