Nilimzalisha dada yangu, nitapata laana?

Nilimzalisha dada yangu, nitapata laana?

kama wewe ni mkristo nenda kanisa la kilokole muone mchungaji mueleze ukweli atafanya maombi ya kukutenga na hiyo hali na utapata mafundisho ya kukusaidia
 
Hao watoto watakuita mjomba au baba
Vipi upande wa ndugu zenu washajua kama bado siku wakijua itakuaje?Hapo ndio utawuliza hiyo ni laana au lah

Ninachokijua huo si mchezo mwema kwenye maisha yako na kama umeleta uzi wa Kinageria huo utakuwa upuuzi wako..
 
mwanadamu hufanya kosa mara moja lakini isiwe ndio mchezo, na wewe pia inaelekea mchezo unaupenda,mwanamme unazidiwaje kete na mwanamke? yani wanaume wanazidi kupungua siku hadi siku...
 
JF ingekuwa yangu ningekufukuza kwani wewe ni mnyama aliyelaaniwa! hata dini huna???
 
Kama ni hadidhi basi wewe ni mtunzi mzuri lakini kama ni story ya kweli weka kichwani mwako kwamba tayari una watoto wawili na mke maana hata ukificha leo hao watoto wataambiwa tu baba yao. NB: umemharibia malengo dadako chunga usije ukaampa Nat hiv
 
Hakimu ni Mungu, sisi sote wakosaji. Kama ni laana au baraka ajuae yeye. La maana songambele!
^^
 
Hii movie mmeicheza vizuri inapatikana wapi
 
aisee hii muvi kali sana.
ila chakuchangia; ni vyema kama utatumia hekima ambayo mtaweza kumweleza mama yenu maana lasivyo mwisho wa siku maisha kwako yatakuwa magumu na lazima siku itafika na kwanjia yoyote ile ambayo mama yenu atafahamu hilo na itakuwa ni mbaya zaidi kuliko utakavyokuwa umedhani.
 
Marafiki habari za kuhaingaika
Kwetu tumezaliwa wawili tu mapacha , Mimi na Dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuruhusiwa kutoka nje kabisa labda shule tu na tulienda na Gari la nyumbani
Tulikua tukiishi mkoani na ilikua ni mwishoni mwa miaka ya tisini

Tukiwa form six, nadhan tulikua tumefunga shule tukiwa home, Dada yangu aliletewa mkanda Wa kikubwa na Rafiki yake baada ya Rafiki kuondoka tukawa tunauangalia sielewi ni nini kilitupata tukajikuta tumezini, mm kwangu ilikua ni Mara ya kwanza ila nadhan mwenzangu alikua tayari keshafanya huko nyuma

Ikawa kila siku tunafanya wazazi wakiondoka
Kuja kustuka haoni siku zake akamwambia mama naye akamwambia baba
Sijui niwaeleza lugha gani muweze kuelewa kilichotokea
Ilikua ni mtiti akaambiwa aeleze ni nani aliempa mimba akawa anasingizia wanafunzi wenzie shuleni, wakifika shule anababaika anashindwa kutaja basi akafukuzwa shule hata mtihani Wa mwisho hakufanya

Wakati hilo halijaisha biashara za Mzee zikaanza kuyumba vibaya vibaya na alikua na deni kubwa sana benki wakaja kuuza nyumba tunayokaa bado haikutosha
Nyumba tuliyohamia ikapigwa mnada pia
Mzee akapata stroke, tukaanza kuhangaika nae kila hospital,
Mtihani Wa mwisho ulipofika sikuweza kufanya kitu nilikua naangalia tu makaratasi maana tulitoka maisha ya juu ghafla tukaporomoka hadi chini ndani ya miezi 9-12
Mzee akawa amefariki tukaenda kuzika kijijini
Hakukua na chochote kilichobaki mjini si nyumba nini
Tumezika kama Leo wiki moja mbele Dada akajifungua mapacha Wa kiume kama sisi tulivyo mapacha

Baada ya ndugu kutawanyika na miezi minne kupita tukiwa bado kijijni maana tulipanga tuishi huko huko mjini hatukua na chochote mama aliniita akaniambia niende mjini nikaangalie matokeo yangu ndipo tunaweza kupanga tufanye nn
Matokeo yalikua mabaya

Usiku mmoja mama na babu wakaniita babu akaniambia chukua hawa ngombe ukauze wote utuachie watano tu
Hii ndio mali pekee Mzee wako alioacha, walikua ngombe 200
Nikapewa baba zangu wadogo tukaenda mnadani tukauza nikapata pesa nyingi mno

Nikaja dar kutafuta maisha na kiasi hicho cha pesa
Nikawa nanunua ngombe mkoani naleta dar hadi mtaji ukaongezeka mara tatu

Nikafungua biashara zingine na nikanunua kiwanja boko na nikajenga
Nikarudi kijijini nikamchukua Dada yangu na watoto had I mkoani wakiwa na miaka mitano nikampangia nyumba na kumfungulia biashara lengo ni watoto waanze la kwanza hivyo walitakiwa maandalizi ya nursery
Mama tulimwacha kijijini alikataa kabisa kuja mjini
Siku moja tuliagiza pombe walau tusherehekee mafanikio maana hatukumini kama tungefika hapo
Baada ya kunywa sana nikaona nikalale akanifuata chumbani na kuanza romance nikamzuia nikamwambia hatupaswi kurudia kosa hili, tushukuru huenda ni mpango Wa mungu Mzee kufariki kabla hajajua mm ndio nilikupa mimba
Na bado hatujui siku mama akijua itakuaje
Akaniambia yeye hataki mwanaume mwingine zadi yangu na kwamba ananipenda mm tu
Nakuja kustuka hivi na boxer na vest ameshavitoa huku akiendelea na zoezi moyo wangu ulishakataa ila mwili ukawa dhaif tukawa tumezini

Tangu hapo huwa anakuja dar tunafanya nashindwa kuresist ile pressure
Nikapata msichana mmoja dar alipokuja dar akatukuta nae kwangu alifanya fujo na kumpiga vibaya yule binti hadi majirani wakaniambia kumbe ulishaoa husemi, mi nashindwa kuwajibu
Nikapata demu mwingine Dada yangu alipokuja akakagua simu akaona SMS za mapenzi akampigia akamtukana sana akamwambia yule demu eti nimeoa na nna watoto wawili demu akakimbia kimoja

Nimepata Dada mmoja Wa benki tunapendana sana na tumepanga kuishi pamoja lakini kikwazo ni Dada yangu
Akigundua tu ni balaa
Sijui nimwambie huyu banker in advance kuhusu ili tatizo?

Marafiki naombeni ushauri
Maana mama mwenyewe anataka nioe nitulie

Dada anasema nisijidanganye kuoa ni kazi bure
Nikimwambia tafuta mtu wako na wewe uolewe hanielewi

Nifanye nini?
Naogopa laana

Movie, kwa nini baba yako alikufa kwa mshtuko wa kufilisiwa nyumba na bank wakati bado alikuwa na ng'ombe zaidi ya 200 ambao babu alikuambia ni urithi toka kwa baba yako? Halafu wewe ukapewa ng'ombe 200 kirahisirahisi na babu na ukawauza wote siku moja!
 
Movie, kwa nini baba yako alikufa kwa mshtuko wa kufilisiwa nyumba na bank wakati bado alikuwa na ng'ombe zaidi ya 200 ambao babu alikuambia ni urithi toka kwa baba yako? Halafu wewe ukapewa ng'ombe 200 kirahisirahisi na babu na ukawauza wote siku moja!

Mkuu kwa nini umeniwahi? Hapo nilikuwa nataka kuanza napo, anyway mtunzi umejitahidi ila ulisahau kumpelekea mhariri
 
Kwa sababu bado unaendelea kungonoka nae,unaonyesha bado hujutii madhara uliyoyapata baada ya hilo tendo,kwa kuwa hujutii,laanakhum inakuhusu mkuu
 
Kama habari ni ya kweli..
Njia moja ya kujinasua, ni kuweka jambo hilo wazi kwa mama yenu.. from their u can move on.. other wise dada yako anachukulia huo usiri kuendeleza huo upuzi..kama ana kublack mail vile.

Mweke mbali sana na wifi zake.. as anapata wivu.
 
jamaa mmoja mvuta bangi alikuwa akilala na dada yake chumba kimoja hko manzese, siku moja akalewa sana bangi na mipombe akamkamata dada yake akampiga pipe, dada yake alilia sana na asubuhi alimkata shingo jamaa akiwa usingizini. Ila kama mmeanza toka utotoni kuna kuwa na mahusiano mazito maana kuna undugu na mapenzi kwa pamoja
 
kama wewe ni mkristo nenda kanisa la kilokole muone mchungaji mueleze ukweli atafanya maombi ya kukutenga na hiyo hali na utapata mafundisho ya kukusaidia

Kwa nini aende kanisa la kilokole. Wachungaji wenyewe matapeli tu. Nafikiri solution ni kukaa chini na dada yake waongee
 
Hakimu ni Mungu, sisi sote wakosaji. Kama ni laana au baraka ajuae yeye. La maana songambele!
^^

Hiyo ni laana hata kwenye vitabu vya dini imeandikwa.
Kumwambia mtu kitu fulani sio sawa haimaanishi unamhukumu.
Alichofanya si sawa na lazima kikemewe hata kama wanadamu tuna makosa.
 
Back
Top Bottom