Nilimwambia atakufa akafa kweli

Kwa Uzoefu wangu..ANAYEKWAMBIYA NAKUROGA huwa HAKUROGI ..utarogwa na USIYEMJUWA...siku zote EPUKA KUMNYOOSHEA MTU KIDOLE..KWAMBA Utaona..JUWA....kuna wabaya wake Pembeni....wanasubiri wapate PAKUJIFICHIA...PENGINE wako waliomuumiza.....sio wewe MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kutaka kupata uhakika siku ile kama hukubahatisha ungemwambia tu kama kweli atakufa na huyo aliyekuuzi leo
 
Naomba nikuulize mshana ukijibu vizuri itakuwa vema ila usipo nijibu bas huna budi kufuta huu Uzi sio lazima lakini.Unahisi ni kwa nn alikufa? Ni baada ya ww kumwambia vile au?

Sent using Iphone 7+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…