Nilimwambia atakufa akafa kweli

Sina roho ya kisasi inawezekana kabisa siku zake zilifika

Sent using Jamii Forums mobile app
Yote yanawezekana na yasiwezekana.Yanawezaekana kwa sababu kwenye bibilia tunaambiwa maneno ni uzima tena ni roho(yanaishi)Neno lako liliishi kwake ndo maana kweli akafa.

Kama asingekufa pengine tungesema siku zake hazikufika au Mungu alikua na kusudi lake.Ndo maana tunaambiwa tuwe makini na ndimi zetu.Nadhani lilitimia kwasababu uliimaanisha kweli na ulikua na hasira juu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nikuulize tu mshana jr , ilikuwaje hadi muondoke wote uje umtelekeze? hata mimi ningesema wewe mpenzi wangu kabisa, huwezi nitoroka mbele za watu aibu nipate mwenyewe

teh teh
 
Mkuu mshana. Mdomo unanguvu kubwa sana ya kuumba vitu. Ndo mana hata mimi binafsi nakuwa makini sana na maneno ninayosema.

Nakumbuka nilishawahi kuwa na mahusiano na mtoto mmoja mzuri sana. Hata wewe ukimwona lazma ushtuke lakini tukajagombana na nikamtamkia maneno mabaya sana. Kwamba hutokuja kuolewa kamwe na hadi leo bila bila hajaolewa licha ya kuwa na uzuri uliopitiliza. Hayo maneno niliyasema almost 8 years back. Nikikaaga nae kupiga stori anasema anataka sana kuolewa lkn hapati mtu.

Ingawa bado tuna urafiki, ila amekuwa mchepuko wangu tu sio njia kuu. Nikifikiria huwa nasikitika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…