Nilimwambia Asile,Dushelele!

Ale dushelele shele
Dushelele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushele dushele waegoo ooh
Lugha nyingine bwana mmmh ndo nini sasa hiyo?karibu sana.
 
karibu ndugu cheki na hii <a href="https://www.jamiiforums.com/www.jamiiforums.com/rules.php" target="_blank">www.jamiiforums.com/rules.php</a>
<br />
<br />
Asante kwa mwongozo,nitazingatia.
 
Hodi mpaka ndani,dushelele hapa.Pata na kibwagizwo kidogo.

Nilimwambie asile
Ye alikula akavimba akaja
Mtoto mzuri aliye zaa na yule jamaa
Mwenye mahela, akaniacha na njaa
Kwenye mataa
Yeye akaniacha nalia na mola
Ali waleo nalia na Mola, ona
Yule aliye kupa wewe
Ndio kaninyina mimi
Na kama riziki anatoa yeye
Basi nita kosa mimi
Ila mola, ndio anayetoa
Tena kwa foleni hata kama niko nyuma
Nitapata lazima
Asile ana maana yule
Mimi na yule, tulipendana yele
Ale dushelele shele
Dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele
444367186_62b1bf6c0c_m.jpg

Dushelele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushelele shele dushelele ooh
Ale dushelele shele
Dushele dushele waegoo ooh
Nakwambia usile usije ukajaaaaa.....................Yuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee........... Dushelele anakaribishwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom