Nilimuacha kimasihara, sasa hivi najuta

Nilimuacha kimasihara, sasa hivi najuta

Mzee baba, wewe unapitia wakati mgumu kama mimi pia. Niliowaacha kwa upuuzi wangu kipindi sina mpango wa kuoa ndiyo ninaowawaza sasa!

Ninapojaribu kuulizia habari zao, tayari wameshaolewa. Nabaki najutia tu, maana ninaokutana nao ni balaa tupu. Hii comment yako inauma sana, japokuwa ndiyo ukweli wenyewe uliojificha.

Sent using Jamii Forums mobile app

upo sawa kabisa baharia...nimezinguaga sana...sasa hivi kila nikipiga reverse naambiwa ameshaolewa...nimebaki nagandani na madanga ya mjini tu.....akili zao za kucharge...
 
ila mwana acha kulia lia...unatudhalilisha ..kama manzi ameshasonga na maisha yake na wewe pambania yakwako kulia lia hakutakusaidia chochote ..amini utapenda tena..wenye karba yake wapo sema haujakutana nao tu...
 
Mkuu you want to say jamaa bado anaweza akatumia mbinu kumpata
You reap what you saw.


Kwa udhaifu wa wanawake, SITEGEMEI KABISA KABISA, KUA UTAAMUA KUA MPUMBAVU KUANZA KUMSUMBUA KWA MBINU YOYOTE ILE.




Heshima Ndoa yake !!.

One love
 
Wanawake wazuri na wenye heshima wapo wengi sana ni wewe tu unashindwa kumtengeneza unayempata wala hukufanya kosa kumuacha Naomi maana ungejilazimisha labda ungemnyanyasa na kumuumiza nafsi tuliza kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na Hamna kitu kibaya kumwacha dem af umwone anazid kung'ara.lazm utachanganyikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mweee! hapo lazima nirudi tuu!! labda km sijampenda lkn amekaa moyoni kwani kuachana kwa mda nini bana!! huyo fala atalea mpaka alie pooo!! nitamzalisha mpaka na vijukuu kenge kabisa nikupende haf ulete za kuleta labda siyo mimi!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom