Nilimtongoza kiutani sasa kaniganda

Nilimtongoza kiutani sasa kaniganda

Ila inakuwaje umtumie mwanamke au mtoto Wa watu kisha useme unataka kumuacha wanaume mbona mnaroho zakishetani inamaana umemfunua ulichotaka umekipata sasa wataka kusepa mwanamke akikupenda kosa asipokupenda kosa hivi mnataka nini labda Na wanaume kama nyinyi wengi mnaishia kulogwa tu
Kwan ukifanya matusi na demu ni lazma umuoe! Kama ni ivo mtatosha? Na je maujuzi tutajifunzia wapi?
Kwani shuleni hakunaga mitihani ya majaribio!?
 
Mwambie Akijiua na we utajiua pia na utaandika ujumbe kama yy ... Hapo lazima apumue fasta
 
Nilimtongoza kiutani uyu dada, mara ya kwanza alikuwa mgumu mgumu mara akatiki, mchizi nikatembea nae sasa tatizo mtoto wa watu kaniganda anadai eti mi ndo mume wake eti na huku mi nilimtamani alafu ananitishia nikimwacha atajiua na ataacha ujumbe, mi aninipa stress kwa sasa.
KUMBE BADO WAPO WA KUTISHIA KUJIUA
 
Kisa kama cha kwangu, kuna kanachuo Fulani nilikatafuta kitani kwa what's up ... Sasa kana ganda
 
Back
Top Bottom