Naomba ushauri mkuu daa ata sielewiEbu toka hapa Na wewe.Kukuzidi mwaka 1 ndo nini
Eti nilimtamani.Are joking or what?
Na bado kurogwa tu .
Why mnachafua wadada wa watu.Huna GF wako mpaka kumnajisi huyo??
Sasa umeingia choo cha Shimo akugandee mpaka vyanaume vyenye Tabia hii vikome
I'm sure huyo Dada sio chizi aseme hivyo.kuna maneno ulimdanganya mpaka naye anasema hivyo
Eti ' haiwezekani kanizidi 1 year. 1 year ndo mdudu gani.
Tena angaliaa.Atakuendea Bagamoyo ukome kutamanitamani ovyo.
Kuweni open siku ya kwanza.
Ooh nimekupendaa hakuna kama wewe ntakuoaa. Kumbe unataka vya ndani.Unavipata unaanza sijui kanizidi mwaka.
Huo mwaka ulikuzuia Dudu kuingiaaaaa???
Umriiii wako mkuu kama hutojaliNilimtongoza kiutani uyu Dada, mara ya kwanza alikuwa mgumu mgumu mara akatiki mchizi nikabutua kushusha mzuka, sa tatizo mtt wa watu kaniganda anadai eti mi ndo mme wake eti nauku mi nlimtamani afu ananitishia nkimwacha atajiua na ataacha ujumbe, mi aninipa adi stress kwa sasa.
mkuu hadi hili unahitaji semina elekezi?????Nilimtongoza kiutani uyu dada, mara ya kwanza alikuwa mgumu mgumu mara akatiki, mchizi nikatembea nae sasa tatizo mtoto wa watu kaniganda anadai eti mi ndo mume wake eti na huku mi nilimtamani alafu ananitishia nikimwacha atajiua na ataacha ujumbe, mi aninipa stress kwa sasa.
Khaaaa kama utani kwa nini mwanzoni asimuachemara nyingi mademu wenye tabia hizo wana sura kama babu zao na maumbo kama pipa au mswaki
Haaa haaa Dada yamekufika niniIla inakuwaje umtumie mwanamke au mtoto Wa watu kisha useme unataka kumuacha wanaume mbona mnaroho zakishetani inamaana umemfunua ulichotaka umekipata sasa wataka kusepa mwanamke akikupenda kosa asipokupenda kosa hivi mnataka nini labda Na wanaume kama nyinyi wengi mnaishia kulogwa tu
Kazi ndogo sana kumdis hiyo,mie nakudiscourage hadi unaacha mwenyewe hakuna cha mganga wala nnEbu toka hapa Na wewe.Kukuzidi mwaka 1 ndo nini
Eti nilimtamani.Are joking or what?
Na bado kurogwa tu .
Why mnachafua wadada wa watu.Huna GF wako mpaka kumnajisi huyo??
Sasa umeingia choo cha Shimo akugandee mpaka vyanaume vyenye Tabia hii vikome
I'm sure huyo Dada sio chizi aseme hivyo.kuna maneno ulimdanganya mpaka naye anasema hivyo
Eti ' haiwezekani kanizidi 1 year. 1 year ndo mdudu gani.
Tena angaliaa.Atakuendea Bagamoyo ukome kutamanitamani ovyo.
Kuweni open siku ya kwanza.
Ooh nimekupendaa hakuna kama wewe ntakuoaa. Kumbe unataka vya ndani.Unavipata unaanza sijui kanizidi mwaka.
Huo mwaka ulikuzuia Dudu kuingiaaaaa???
ahahahaMwache Tu uone kama atajiua au la