Daah volkswagen bito..mkuu huyu ndo ex wako?
Sasa mnamshaulije hivyo unaweza mshauli kumbe anae mtenda ni ndugu yako, tuwe tunaangalia Na vitu vyakushauriPlayboy huyo..kashakinahi na alichokitaka sasa anataka kusepa
Bidada mwema weye?
Daah volkswagen bito..mkuu huyu ndo ex wako?
imebidi nicheke khaaaSiwezi kumshauri kama ni playboy typeSasa mnamshaulije hivyo unaweza mshauli kumbe anae mtenda ni ndugu yako, tuwe tunaangalia Na vitu vyakushauri
Kweli hii ndio jf😀 😀 😀 😀 😀 😀
Tufurahi tuongeze umri wetuKweli hii ndio jf
Kwakweli nikuongeza siku haya ngoja tuziongezeTufurahi tuongeze umri wetu
Ebu toka hapa Na wewe.Kukuzidi mwaka 1 ndo niniDaa mi nlimtaman tu ila ye kaenda mbali mkee haiwezekani na umri kanizidi mwaka 1
mara nyingi mademu wenye tabia hizo wana sura kama babu zao na maumbo kama pipa au mswaki
Akijiua na wewe jiueNilimtongoza kiutani uyu Dada, mara ya kwanza alikuwa mgum mgum mara akatiki mchiz nkabutua kushusha mzuka, sa tatizo mtt wa watu kaniganda anadai eti mi ndo mme wake eti nauku mi nlimtamani afu ananitishia nkimwacha atajiua na ataacha ujumbe, mi aninipa adi stress kwa sasa..
