Doris Gabriel
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 1,045
- 869
Hawa waache tuHahaaa. Kulogwa tena mdogo wangu.
Ila kuna watu wana roho mbaya sana.
Hawa waache tuHahaaa. Kulogwa tena mdogo wangu.
Ila kuna watu wana roho mbaya sana.
Nimekumiss ila mdogo wangu. Mzima?Hawa waache tu
Tuish wapii xaxaaa???????Wanaume hamstaili kuishi duniani kwajibu lako tu
hahaha wat kind of shit comment is this hahahahmara nyingi mademu wenye tabia hizo wana sura kama babu zao na maumbo kama pipa au mswaki
Utani utani wakati ulikomaa kabisa alipoonesha kuchomoa na bado uka-mbato juu, ushahidi wa UTANI ni nini hapo sasa? Acha ubashite ubaya wa duniani hulipwa duniani hapa hapa, cheza tu na hisia za watu. Kama ni mgegedo tu si utafute madanguro?Nilimtongoza kiutani uyu dada, mara ya kwanza alikuwa mgumu mgumu mara akatiki, mchizi nikatembea nae sasa tatizo mtoto wa watu kaniganda anadai eti mi ndo mume wake eti na huku mi nilimtamani alafu ananitishia nikimwacha atajiua na ataacha ujumbe, mi aninipa stress kwa sasa.