Maumbo mengine tunamsingizia Mungu, kwani Mungu ndiye kamlisha soseji na chips na kitimoto?Ilo umbo mungu kampa kaka yangu usimkosoe binadamu wakati utazaa utakuwa Na wajukuu mungu hajalibiwi
Mmhh sawaMuwe mnafatilia historical background za mnaowatamani,wengine wana mafaili mirembe. Maana huo ni ukichaa
NDIO UMEFIKIA KWENYE KUTOGA.? WASAMEHE BUREIla inakuwaje umtumie mwanamke au mtoto Wa watu kisha useme unataka kumuacha wanaume mbona mnaroho zakishetani inamaana umemfunua ulichotaka umekipata sasa wataka kusepa mwanamke akikupenda kosa asipokupenda kosa hivi mnataka nini labda Na wanaume kama nyinyi wengi mnaishia kulogwa tu
Sasaa mamaa kwan kakuathir nn c ajabu mtu hajakuta bikira!! Half unataka amng'ang'anie!! Na ukitingozwaa c lazm ukubali kataa!! Kwasabab Amna mwanaume atakayekuoa bila kukufunua lkn pia anaweza asikuoe!!!Ila inakuwaje umtumie mwanamke au mtoto Wa watu kisha useme unataka kumuacha wanaume mbona mnaroho zakishetani inamaana umemfunua ulichotaka umekipata sasa wataka kusepa mwanamke akikupenda kosa asipokupenda kosa hivi mnataka nini labda Na wanaume kama nyinyi wengi mnaishia kulogwa tu
Wanaume hamstaili kuishi duniani kwajibu lako tuSasaa mamaa kwan kakuathir nn c ajabu mtu hajakuta bikira!! Half unataka amng'ang'anie!! Na ukitingozwaa c lazm ukubali kataa!! Kwasabab Amna mwanaume atakayekuoa bila kukufunua lkn pia anaweza asikuoe!!!
Duh! We somtumzurimwache ajiue
Wewe je bikra?????We bikra..!?
Duuuuh we Jamaaaamara nyingi mademu wenye tabia hizo wana sura kama babu zao na maumbo kama pipa au mswaki
IN BUSINESS:THINK ,DONT FEELNilimtongoza kiutani uyu dada, mara ya kwanza alikuwa mgumu mgumu mara akatiki, mchizi nikatembea nae sasa tatizo mtoto wa watu kaniganda anadai eti mi ndo mume wake eti na huku mi nilimtamani alafu ananitishia nikimwacha atajiua na ataacha ujumbe, mi aninipa stress kwa sasa.
Hahahaaaaa. Itakuwa anaweza sio bure.Dahhh Mungu akusamehe maana ulivoongea kama unaweza kuumba ata nzi
Hahaaa. Kulogwa tena mdogo wangu.Ila inakuwaje umtumie mwanamke au mtoto Wa watu kisha useme unataka kumuacha wanaume mbona mnaroho zakishetani inamaana umemfunua ulichotaka umekipata sasa wataka kusepa mwanamke akikupenda kosa asipokupenda kosa hivi mnataka nini labda Na wanaume kama nyinyi wengi mnaishia kulogwa tu