Nilimthamini sana, kumbe ananiona mjinga, akaamua kunidhalilisha

Kama ni kweli pole sana.ushauri wangu jiweke mbali na mapenzi kwa sasa na uelekeze nguvu zaidi katika mambo yako,masomo na kazi bila ukimtegemea mungu kwa kila jambo!kama alikukacha kw pesa basi zitafute kwa hasira.one day utaangukia mikononi mwa mwenye mapenzi ya kweli na utasahau yote!
 
Nikutoe wasiwasi tu kuwa hii sio story ya kutunga. Imenitokea mimi mwenyewe.
Asante pia kwa ushauri wako, mapenzi yamenicost sana haswa muda umepotea mno.
 
Achane naye, ni mambo ya kawaida tu hayo dogo

laki nne si kitu utapata zaidi ya hizo, after all ulimla na wewe so chukulia poa tu

angekwambia mapema usingempa hiyo laki 4

wewe au mama yako si wa kwanza kudanganywa
 
achane naye, ni mambo ya kawaida tu hayo dogo

laki nne si kitu utapata zaidi ya hizo, after all ulimla na wewe so chukulia poa tu

angekwambia mapema usingempa hiyo laki 4

wewe au mama yako si wa kwanza kudanganywa

Daah..asante kaka, hata mama naye alisema kuwa haya mambo ww sio wa kwnza kufanyiwa..ila mimi roho inauma sana yule dogo amemdanganya sana mtu mzima wa miaka 60+
 
They say "The best revenge is to forgive" japo si rahisi kihivyoooo
Pole aiseee uzuri Mungu kaweka kusahau utasahau tu

Yes, the best revenge is to forgive. Nzi Chuma

Hizo mambo za kuolewa halafu wanasema nililazimishwa zipo sana ndugu yangu. Msamehe na ongea nae bila kuonesha chuki yoyote.

Talking from experience!
 
Last edited by a moderator:
Inauma sana tu lakini usilipe hicho kisasi,achana nae. Msamehe kwajili yako wewe mwenyewe kwanza,move on na maisha yako mana hapo sio mwisho bado unasafari ndefu
 
Hivi kwanini wadada wanaamua kufanya hivi??
 
Yes, the best revenge is to forgive. Nzi Chuma

Hizo mambo za kuolewa halafu wanasema nililazimishwa zipo sana ndugu yangu. Msamehe na ongea nae bila kuonesha chuki yoyote.

Talking from experience!

Mpaka sasa naongea nae kwa upole sana, natamani ajue jinsi ninavyomchukia moyoni, lakin naona kama itaniharibia mipango yangu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wala usiumize kichwa. Licha ya kwamba kamkosea Mama we shukuru Mungu yametokea haya ukiwa hujamuoa huyo nyang'au maana kutatua suala la maudhi alilofanya mke wa ndoa kwa Mama yako inahitaji utashi na busara ya hali ya juu sana.

Ikiwa Mama kasamehe basi wala usitumie muda wako kumfikiria huyo mwanamke. Concetrate kwenye maandalizi ya future yako mapenzi waachie njiwa!!!
 
Mimi nilishakuona ndugu yangu kitambo sana kuwa wewe ni cha mtoto ndiyo maana nikaona nimchukue Demu fasta.Nakuonya kuwa ukimdhuru patachimbika!
 
YANGU NI HAYA YAFUATAYO>

1. Hongera kwa kuleta ili jambo hapa JF maana tayari umshatua mzigo kwa 90% uliokuwa ukikusumbua moyoni na akili.

2. Wapo wengi waliopitia mitihani mikubwa ya maisha kuliko hayo yako lakni Mungu amewapa ujasiri waliyasahau and life go on....wana ndoa zenye furaha na Amani tele.

3. Huyo sio wako aliyekupangia Mungu......wako Yulee...nimepishana nae pale anakuja...TULIA..MUNGU ATAKUPA WAKO..mtakaye...endana vema...na hata hivyo mshukuru Mungu amekuepusha na huyo mwanamke...!

4. Usije ukalipa KISASI....MUNGU ATAMLIPA...NA IPO SIKU ATAKUJA KULIA MACHOZI MBELE YAKO akikuomba msamaha.

5. Mfariji mama ...mwambie ULITELEZA TU...IPO SIKU...atafurahia kushuhudia NDOA YAKO NA WAJUKUU.

NB: Usilipe kisasi, mpotezeee, namba yake...m-block ili asizidi kukutia stress...usitafute binti haraka..TULIA ...wako anakuja.
 
Yes, the best revenge is to forgive. Nzi Chuma

Hizo mambo za kuolewa halafu wanasema nililazimishwa zipo sana ndugu yangu. Msamehe na ongea nae bila kuonesha chuki yoyote.

Talking from experience!

Share experience yako....,

Uliniumiza i wish ungejua
 
Last edited by a moderator:
YANGU NI HAYA YAFUATAYO>

1. Hongera kwa kuleta ili jambo hapa JF maana tayari umshatua mzigo kwa 90% uliokuwa ukikusumbua moyoni na akili.

2. Wapo wengi waliopitia mitihani mikubwa ya maisha kuliko hayo yako lakni Mungu amewapa ujasiri waliyasahau and life go on....wana ndoa zenye furaha na Amani tele.

3. Huyo sio wako aliyekupangia Mungu......wako Yulee...nimepishana nae pale anakuja...TULIA..MUNGU ATAKUPA WAKO..mtakaye...endana vema...na hata hivyo mshukuru Mungu amekuepusha na huyo mwanamke...!

4. Usije ukalipa KISASI....MUNGU ATAMLIPA...NA IPO SIKU ATAKUJA KULIA MACHOZI MBELE YAKO akikuomba msamaha.

5. Mfariji mama ...mwambie ULITELEZA TU...IPO SIKU...atafurahia kushuhudia NDOA YAKO NA WAJUKUU.

NB: Usilipe kisasi, mpotezeee, namba yake...m-block ili asizidi kukutia stress...usitafute binti haraka..TULIA ...wako anakuja.

Nahisi kupona
 
Mimi nilishakuona ndugu yangu kitambo sana kuwa wewe ni cha mtoto ndiyo maana nikaona nimchukue Demu fasta.Nakuonya kuwa ukimdhuru patachimbika!

Mbona nililala nae a week b4 ndoa? Ww umechukua mke au mazaga??
 
Ulipe kisasi ili iweje Mkuu? unataka kumdhuru? Achana naye mshukuru muumba wako songa mbele na maisha yako wala usipoteze muda wako kumtafuta pia akikutafuta mpotezee tu. Sasa hivi kipaumbele chako ni kufanya vizuri kwenye masomo yako. Kila la heri kwenye masomo.
 
Habari zenu wanaJF,
Mama yangu nlimshuhudia akitoa chozi kwa kudanganywa na mtoto mdogo, ila nikampoza na kumuomba msamaha. Licha ya kuwa alibadilishiwa namba na mumewe lakini still alintafta na namba yake mpya ninayo. Bado mpka sasa natafuta cha kumfanya huyu KHANITHI. BARADHULI. Kwa sababu kuu hizi: Natanguliza shukrani..
I see,mahusiano mengine hadi uchungu wa hasira unakupata kana kwamba umefanyiwa wewe....but kama umeshakaa normal we hayo achana nayo endelea na yako na uatapata mwingine anayejali hisia zako
 
Pole Sana!safari bado ni ndefu still unahesabu semester,watu wanasomesha wanaachwa,wananunua magari wanaachwa wanajenga nyumba(Ufoo Saro)wanaachwa!kama hii ni safari basi wewe Ndio kwanza gari inasumbua kuwaka bado huko mbele kuna kujaza fuel,traffic,Milima mabonde hata ajali na kifo hivyo usiumie sana endelea na maisha mwanaume hazeeki check Hapo chuo kitoto 1st year endeleza mapenzi.
 
Back
Top Bottom