Nilimshauri hivi rafiki yangu kuhusu mchumba, je nilikosea?

hahaahah...baby ake DEMBA huyu Mokoyo mwache ni nyuki wa mashineni tu....sisi tuendelee na yetu...ila akizidisha usumbufu, visivyofaa vitamhusu

Mhe. Kaizer husinitishe bana, sasa hivi niko kijijini kusherekea krisimasi subiri nikirudi nitakuwa nimejipanga kijadi zaidi lazima mtoto DEMBA atulie kwangu 2014
 
Da Pilly umenikosea sana, kwa 95% ndoa siijui wakati nimefuatwa kuombwa ushauri? Nakuhakikishia ndoa nyingi zimeyumba kwa mtu kuoa/kuolewa ilimradi muda umefika. Usipochagua vizuri mtu aliyeuteka moyo wako, matokeo yake kosa kidogo ugomvi mkubwa, kumbe angekuwa kifaa, ungesema samahani mpenzi, umenikwaza. Na huo utafiti wako kuwa wazuri wanatembea hovyo si kweli hata kidogo, hiyo ni tamaa ya kutaka kuwa na maisha mazuri bila kufanya kazi.

Sorrrrryyyyy!!! muungwana akimkosea binadamu mwenzie anaomba samahani, samahani mtanzania mwenzangu????? kwani we wa mbili wa tatu?????
 
Uzur unachukua % nyngi sana kumbe? asa mbona mnasema mwanamke tabia?
 
Back
Top Bottom