Nilimshauri hivi rafiki yangu kuhusu mchumba, je nilikosea?

Nilimshauri hivi rafiki yangu kuhusu mchumba, je nilikosea?

Vission na personality ( the combination of characteristics or qualities that form an individual's distinctive character) you can still work out on that to raise it from 35% to above 75%.
Well initially... its the look that MAY attract you.......
but it's the personality that keeps the love thriving, evolving,

kwa mfano mimi kama H.O.E huwa siangalii uzuri wa mwanaume..nahisi na kama naangalia haizid 5%...
sura yake nitatembea nayo!!!!!!!!sura yake will it pay the BILLS NO!!!!...ukute mtu HB lakin hana
vision ya maisha wa kazi gani huyo........
 
best naomba unipe ushauri nataka kuchagua mwanaume nizingatie nini hasa?

halafu wewe Mokoyo si unataka kumpindua Kaizer? Hebu nipe sifa zako za ziada.........

:frusty::frusty::A S-confused1:
Vigezo alivyo navyo Kaizer havikidhi vigezo vya TBS yako shem?
:amen::amen:

shem namtafutia rafiki yako mume mwenza.kwan kunatatizo?

We we usithubutu Kukutwa............
:amen::busu

sikutwi bana it will be our little secret.......deal?
:faint2::A S-confused1:


Last seen 18.44:cell:
 
Hivi mlisema maana ya 'exposure' ni nini?
 
Kaka? Umeshagundua kuwa wazuri huwa hawaoni shida kumvulia mtu yeyote nguo kwa sababu ya overconfudence ya uzuri wao. Bi keafooooo hiki kipindi cha magonjwa ya kutengenezwa yasiyo na dawa, itabidi ubadili sifa za mtu anapaswa kuwa life partner. Na nina uhakika asilimia 95 ndoa huijui wewe. Na kama galfrend wako anafahamu id yako ya hapa jamii utakuwa umempa kiburi sana!!!!
All in all uzuri wa mtu ingawa upo machoni kwa mtu, ndoa kwa mimi asilimia kubwa ni majanga lakini haya majanga pia yatatokana ni kwa jinsi gani ulichagua ingawa sisi wanawake nao wengi wetu ni wazuri sana katika kuficha tabia zetu esp zile mbaya ili kutunza kitumbua kisije ingia mchanga (kabla ya ndoa) ndoa ikiwa tayari (sasa utanitambua) inajitokeza.
 
Kaka? Umeshagundua kuwa wazuri huwa hawaoni shida kumvulia mtu yeyote nguo kwa sababu ya overconfudence ya uzuri wao. Na nina uhakika asilimia 95 ndoa huijui wewe. Na kama galfrend wako anafahamu id yako ya hapa jamii utakuwa umempa kiburi sana!!!!
All in all uzuri wa mtu ingawa upo machoni kwa mtu, ndoa kwa mimi asilimia kubwa ni majanga lakini haya majanga pia yatatokana ni kwa jinsi gani ulichagua ingawa sisi wanawake nao wengi wetu ni wazuri sana katika kuficha tabia zetu esp zile mbaya ili kutunza kitumbua kisije ingia mchanga (kabla ya ndoa) ndoa ikiwa tayari (sasa utanitambua) inajitokeza.
Da Pilly umenikosea sana, kwa 95% ndoa siijui wakati nimefuatwa kuombwa ushauri? Nakuhakikishia ndoa nyingi zimeyumba kwa mtu kuoa/kuolewa ilimradi muda umefika. Usipochagua vizuri mtu aliyeuteka moyo wako, matokeo yake kosa kidogo ugomvi mkubwa, kumbe angekuwa kifaa, ungesema samahani mpenzi, umenikwaza. Na huo utafiti wako kuwa wazuri wanatembea hovyo si kweli hata kidogo, hiyo ni tamaa ya kutaka kuwa na maisha mazuri bila kufanya kazi.
 
Kama unatafuta mchumba vigezo na asilimia zake ziwe hivi. Uzuri uwe 60% Tabia 35% mambo mengine kama elimu, n.k 5%. Sababu kuu ni kuwa 60% za uzuri maana ndio chanzo kikuu cha kusisimua mapenzi hatimaye tendo la ndoa. Na kwa sheria ya ndoa TZ kama tendo la ndoa halifanyiki kwa usahihi, ndoa hiyo inaweza kuvunjwa. Pili uzuri ni permanent, huwezi kuubadilisha, zaidi unaweza kuuboresha kwa urembo, lakini uzuri kwa maana ya body morphology huwezi kuubadili tofauti na tabia au elimu ambayo unaweza kuibadili kwa mambo kama mazingira, elimu, exposure, na kuonya. Tabia nimeipa 35% nikiwa na maana awe na reasonable tabia ambayo hataonekana kituko katika jamii japo anaweza akawa na mapungufu kadhaa yanayovumilika na ambayo yanaweza kurekebishika. 5% ya mengineyo ni ziada tu wala hayatakiwi kiwe kikwazo kwa mtu ambaye amepata score ya 95%. Je ndugu zangu mnaonaje ushauri niliompa rafiki yangu? Kumbuka sijataja Jinsia hapa maana ushauri huu kwangu ni any gender. Karibu tujadili . . .

Tuwe wakweli hizo asilimia umezipataje au unajitajia tu? Inaweza kuwa ulikuwa sawa lkn mm nataka kujua tu hizo asilimia zinatoka wapi ss na mm nizitumie.
Mm mwenyewe mgeni!!!!!!!!!!!
 
Swali hilo limeulizwa na wengi na sasa nalijibu kwa njia nyingine. Hizo % ni "YOUR LEVEL OF SATISFACTION". Hakuna gauge au mathematical calculation yoyote. That is to say umeridhishwa kwa kiasi gani na sifa za mtu katika vipengele tofautitofauti. Mfano kama ulikuwa unataka mchumba msomi na ukampata aliyemaliza form six ukaridhika kuwa huyo ni msomi wa kutosha, basi ame score 100% japo kwa mwingine hiyo inaweza kuwa ni 40%. So it's your level of satisfaction that matters!!!!!!!
Tuwe wakweli hizo asilimia umezipataje au unajitajia tu? Inaweza kuwa ulikuwa sawa lkn mm nataka kujua tu hizo asilimia zinatoka wapi ss na mm nizitumie.
Mm mwenyewe mgeni!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom