Nilimpenda sana Binti humu, ila sasa nimegundua kila mtu anampenda tu. Inauma

NadeOj

Member
Mar 25, 2024
64
84
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.

ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.

lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti.

nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata,

je ni sahihi kuendelea kumpenda _ephen labda ikitokea awe kabisa mke nimuoe kabisa ? au kwa situation hii au nitapata tatizo la afya ya akili ?.

maana nimeona watu wengine wanasema wanampenda au wanatania tuu ?, mimi nipo serious sana.
 
Cc lucas hebel de mwashambwa chawa mfawidhi

Lucas Mwashambwa
 
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.

ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.

lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti.

nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata,

je ni sahihi kuendelea kumpenda _ephen labda ikitokea awe kabisa mke nimuoe kabisa ? au kwa situation hii au nitapata tatizo la afya ya akili ?.

maana nimeona watu wengine wanasema wanampenda au wanatania tuu ?, mimi nipo serious sana.
Hauko siriasi kuliko mimi, mimi nimemuandalia mbuzi wa posa, mbuzi wenyewe wale wanaotaga mapacha. Nakuomba kwa heshima ya JF nipishe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom