Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,823
- 113,405
π hao wana uafadhali kidogo sio kama hawa wa xaxaMsiwasahau wale wa gali badala ya gari, ha ha hawa ukiwakosoa jibu lao moja tu. Utasikia lakini si umeelewa?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nyingine 'ko'.......Hahaha mwenyewe nimeokota sampuli ya hivyo nikishaichakata tu naikacha maana hata akiandika na struggle kuelewa. Ngoja anaandika 'goja'.
Ila pisi kiaina.View attachment 2535833
Sema nini na wewe una hasira arif hawa wakupuuzia we mchukulie hivyo hivyo na ukiona sms zake miyeyusho ruka hewani, kesi kwisha.Hata huyu wangu. Anachonikera zaidi Ni kuwa mkali nikimuelekeza. Ila mwiso wake umefika.
alafu huyo mbona kaandika vizuri aisee kuna madogo wanaandika msg vifupi mpaka unabaki huelewi anamaanisha niniSema nini na wewe una hasira arif hawa wakupuuzia we mchukulie hivyo hivyo na ukiona sms zake miyeyusho ruka hewani, kesi kwisha.
Xawa ndio maana umekaa kmya [emoji28][emoji28]Mi xio mutoto xawa
demu mwenyewe hata kuandika mtoto hajui sasa jamaa sijui atamfundisha vingapi namna ya kuandika...Mbona hata wewe unazingua!!?
Kosa: Nilisha kukataza
Sahihi: Nilishakukataza
bx utajuwa wwXawa ndio maana umekaa kmya [emoji28][emoji28]
Hawa wanapatikana kitaa mkongwe, tena unakuta ni ka pisi fulani kakali shida inaanza kwenye uandishi na kakishajijua kuwa cha moto na wewe unatia unyonge ili ukale kimasikhara mbona utaona rangi zote.Wahivi mnawapataga wapi??
Anamaanisha elimu yake kidato cha nne na sio kwamba at 23 ndio kamaliza form four.23 ndo anamaliza f4 mi 22 ndo namaliza degree eeeh mbona kachelewa kuanza shule hivyo [emoji848]
Unaona xaxa [emoji28][emoji28]Xaxa xi uxumbufu jamani
Mutoto mwenyeweKaka achana na huyo M'congo
Ni kama jamaa yangu kanizidi umri kama miaka saba hivi hua anaandika hivyo hivyo, utasikia niambie jexhi.. ko tunafanyeje xaxa. Nikiona hivi hua napiga straight [emoji28][emoji28]Huo ukorofi [emoji1787][emoji1787]
Nna ndugu yangu mkubwa kunizidi, jitu zima kabisa mwanaume huwa anaandika meseji hivyo, sijibu huwa naamua kumpigia.
Wa2 mnaringa xanaHuo ukorofi π€£π€£
Nna ndugu yangu mkubwa kunizidi, jitu zima kabisa mwanaume huwa anaandika meseji hivyo, sijibu huwa naamua kumpigia.
Hii ko ni ugonjwa wa wengiTena hao wana nafuu wengine anaandika p akimaanisha powa au ko akimaanisha kwa hiyo.. aiseee hawa wanachefua hatari [emoji28][emoji28][emoji28]