Nilimfumania, sasa ananitishia kuniua

Nilimfumania, sasa ananitishia kuniua

Unaongea kama wewe ndiye muhusika vile
Hapana mkuu mimi sio muhusika,ila ukiona jamaa anafanya hayo basis ujue chanzo ninyinyi.Hakuna play boy yeyote ambae hajawahi kuumizwa.Ukiona hivo basi ujue kuna sehemu alipenda akapindukia lakini mwisho wasiku akaumizwa,na haoni umuhimu wa mahusiano yeyote.Jambo la msingi namuonea huruma tu asije akavunja sheria akafungwa.

Yameshanikuta haya,wapo tuliowatendea wema tukifikiri watakuja kuwa wake zetu lakini malipo yao hata shetani anayoogopa.

Btw pole mkuu.
 
Sikuzote usihamishe kosa la mwingine na kumuhukumu mtu mwingine..na pia kama unaona wanawake wote hawafai yaani kutaka mahusiano nao tena?
 
Mkuu mi mi na swali wewe hujawahi kuchepuka kweli?
Shida inaweza kuwa si kuchepuka, mtu umemfumania tena hata hakusumbuka kukutaka radhi na bado anakutishia kukuua, sijui lakini ila kwangu mimi si mtu mwema huyo.
Imagine yeye ndo angekutwa anachepuka labda tusingesoma hata uzi huu angesha mkill tayar i inaonekana huyo jamaa hayuko poa kumkichwa.
Ushauri wangu usikae kutafakari kama utamsamehe waza namna utakavyojiepusha nae anaweza kukutoa roho huyo, maisha ni ya thamani sanaa kuliko mapenzi tena si kuwa ni mume ila kipoozeo tuu.
 
Sikuzote usihamishe kosa la mwingine na kumuhukumu mtu mwingine..na pia kama unaona wanawake wote hawafai yaani kutaka mahusiano nao tena?
Iko hivyo mkuu lakini kila mtu ananjia zakutoa machungu yake.Nikisoma katikati ya mistari nagundua kuwa wewe bado unampenda jamaa.Cha msingi mkae nae muangalie namna gani mtayamaliza matatizo yenu,utakimbia mahusiano mpaka lini?.Wanaume asilimia kubwa sio waaminifu lazima ulitambue hilo kesho yatakukuta hayahaya utakapoenda kuanzisha mahusiano.Cha msingi kama atajutia makosa yake umsamehe or uamue kumuacha huku ukimainsha kutoka moyoni na akilini.

Ila mie binafsi siwaoneagi huruma mabinti wakiumizwa maana wao wakiumiza nizaidi ya binadamu bora wanaume huwa tuna utu kidogo ila nyie nihatari sana aisee.
 
Wewe acha upumb
..avu tena usinichafue kunieleza ujinga wako mfyuuuu
 
Kama ukimkubalia hawezi kukuua, basi mkubalie kama bado unampenda.
 
Hukukosea kabisa hayo yote uliofanya ni sawa kabisa. Mungu huashiria na hii ni ishara ya huyo mtu uliekuwa unataka kujenga nae nyumba. Kitu cha chini kabisa kabisa angeomba msamaha lakini hukuwa wa muhimu kwake au hajui umuhimu wa tabia njema hata kama mtu umekosea
Pinga moyo konde na songa mbele na shukuru Mungu umepona kuanguka shimoni
 
Vipi, tumfanye ndondocha au tumpoteze yeye mwenyewe asiharibu maisha ya wengine?
 
Wanaume nawasihii tumie akili kufikiri jambo sahihi lakufanya. Wengi wenu mnaongozwa na hisia na mihemko ya miili ikisha mnaanza kujuta kwa matokeo yake
 
Back
Top Bottom