Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,371
- 1,460
Fanya juu chini huyu fyatu akamatwe akajibu kesi ya kutishia kuua. Inawezekana kapewa binti na kodi ya nyumba kafutiwa ili ampunguzie mama mzigo wa kumchunga binti yake. Tulia utapata wa kwako, ukimkosa ni pm tulianzishe.
