Nilimfumania, sasa ananitishia kuniua

Nilimfumania, sasa ananitishia kuniua

Jamani huyo mwanaume wako si mzima inawezekana kati ya wale wanne yeye ndio mmoja wapo.Haiingii akilini mtu ufumaniwe halafu wewe tena utake kuua.
Ila na wamama sisi tuna tabia mbaya sana sasa huyo mama mwenye nyumba anabariki kabisa mwanae kubanduliwa humo humo ndani ilihali anajua mkaka ana mchumba mbali na hilo yeye ndio anakuwa mlinzi wao aiseeee kweli ni shidaaa
Ndoa zinatafutwa Cku iz.. C unajua kuolewa suna... Ko mtu kutoa gundu ni muhimu...
 
Chaaaaaaaa husiogope songa na maisha yako, kuua sio rahisi kiasi hicho

Mimi nilitishiwaga nikambwaga nauwawa, nimembwaga na hajanifanya kitu chochote mwaka ushaisha
 
Wewe acha upumb
..avu tena usinichafue kunieleza ujinga wako mfyuuuu
Mkuu jitahidi kuwa mvimilivu,unapoingia kuomba ushauri basi jua utakutana na ushauli wa kila aina.Nikikueleza mie yaliyonikuta utasema kuwa hakuna wanawake wa dizain hiyo.Lakini chamsingi lazima ujue unasimamia wapi.
 
Chaaaaaaaa husiogope songa na maisha yako, kuua sio rahisi kiasi hicho

Mimi nilitishiwaga nikambwaga nauwawa, nimembwaga na hajanifanya kitu chochote mwaka ushaisha
Asante senee
 
kuna uzoefu mmoja ambao nimekuwa naupata katika kesi kama hizi na siku zote huwa nawauliza na kuwashauri machache kadri ya mengi ambayo huwa ninayo.
kwanza je ukweli wa mioyo yao na hao wenzi wao ukoje? wasiangalie emotional zao na kufanya maamuzi yasiyokubaliana na matakwa yao.
kuna swli linawasumbua siku zote hivi watu watanifikiriaje siwataniona mimi ni mdhaifu? na hii ni kutokana kuwa wanawake wengi wanapenda kuishi maisha ya watu watawaonaje na si wao wanataka nini kwa wakati huo.
hivyo fanya maamuzi ya busara amua kizazi hiki wanaume walio wengi ni player angalia usichelewe ukaolewa na referee tena wakati mpira umeisha (nadhani umenielewa).
hivyo maamuzi yako ndio yafuate.
vigezo vya kuoana sio vigezo vyakuendelea kuishi hivyo kuwa makini pia na hilo download taarifa zake zaidi kisha fikiria upya kama unamwitaji na anakupenda.
lakini mwisho wa yote tazama na wewe umekosea wapi badala ya kupeleka lawama. swala la kuolewa sio dogo siku hizi ni vita na wakati mwingi linahitaji maombi zaidi kuliko unavyofikiria.
mchango huu unakutosha finginevyo ni pm

Hivi maisha ya uhusiano yako hivyo TZ? Kama ni hivi basi inatisha. Ushauri wako unatisha na wa ukandamizaji. Mimi nimeogopa sana
 
Hivi maisha ya uhusiano yako hivyo TZ? Kama ni hivi basi inatisha. Ushauri wako unatisha na wa ukandamizaji. Mimi nimeogopa sana
hutakiwi kuogopa unatakiwa kupambana lakini huo ndio ukweli bila kutafuna maneno
 
mkuu Umetsha.. Lakini kumbuka vidogo ndo vinavyoumiza.. Kama huamini kalia sindano.
Eti nini vidogo ndo vinaumiza kweli sindano hatari kwenye mahusiano Hakuna kitu kidogo kitu kinakunyima usingizi kabisa udogo wake uko wap
 
Pole na shughuli za siku wakuu.

Nilikuwa na mchumba ambaye tumedumu nae kwa miezi tisa. Pia uchumba wetu ulishakuwa wazi kwa wazazi wa pande zote mbili, japo bado hakikuwa kimefanyika chochote katika kuhalalisha mahusiano yetu.

Mwezi uliopita nilikwenda nyumbani kwa mchumba wangu bila kumtaarifu, nilikuta mlango umerudishiwa tu, nikataka kuingia mama mwenye nyumba akanifanyia ishara ya kuniita kwa mkono nikaenda kumsikiliza.

Alichoniambia eti nirudi nyumbani nisiingie kwani mpenzi wangu hajisikii vizuri na ameagiza mtu yoyote akija asiingie. Nikatafakari nikaona kama mtu hajisikii vizuri kwanini nisijue shida yake.

Nikamuitia yule mama na kumshukuru kwa taarifa lakini nikaingia ndani, kweli sebuleni hapakuwa na mtu.

Nikasukuma mlango wa chumbani na kuingia. Sikuamini macho yangu nilichokiona inauma sana nilimkuta mpenzi wangu akifanya mapenzi na binti wa mama mwenye nyumba wake.

Niliona hakuna haja ya kugombana kwakuwa hakuwa mume wangu nilichomwambia aendelee na huyo mimi basi tena.

Siku iliyofuata alikuja home alipogonga geti nilichungulia nilipotambua kuwa ni yeye nilimuuliza anasemaje.

Alinijibu kwa dharau kwamba amekuja kunipa taarifa kuwa yule niliyemkuta nae ndiye chaguo lake mimi sina hadhi ya kuwa nae sikuwa na maneno mengi nilimjibu kifupi asante kisha nikafunga geti nakurudi ndani.

Nilipata uchungu sana nililia hata kesho yake sikuweza kwenda kazini
Nikaamua kumtoa moyoni na kwakweli nilimtoa kabisa, nilichukua zawadi zote alizonipa nikamtuma mdada wa kazi ampelekee. Nikajua ndo mwisho wa mawasiliano.

Baada ya wiki kupita akajirudisha nimekataa na simtaki sasa anatishia kuniua nimeripoti polisi na nimepewa RB.

Je, hapo mimi nina makosa?

Hayatuhusu. This is your private business. Absolutely, private.
 
Pole sana dada, hilo janaume la wapi? Hata mi mwanamme lakini sipendi dharau alizokuonyesha tena mara mbili mbili ila ukirudiana naye utakoma ubishi maana atakuletea wanawake hadi kitandani. Hataweza kuwa mme mwema kwako, kwa lugha nyingine ni janaume jinga.
 
Haya mama tafuta huyo wa peke yako......
Ushaambiwa mwanaume ni kama baba ntilie, mwiko mmoja vyungu vingi.

Jambo la msingi ungemuuliza tu " Honey mwiko umeuosha? "
Kama ndio nae uutumie zako na maisha yangeendelea.

Haya tafuta wa peke yako uone kama halija kuchwea
huu ni ushauri mbovu kabisa na umevunja rekodi kwa mwaka huu 2016.
 
Then your TZ relationships will concern NASTY WOMEN only!!
kuna kitu wanawake wa tanzania hawakijui vizuri kati yetu na wazungu sisi tunasumbua kwa kiasi fulani katika uhusiano lakini wengi hawakotayari kuvunja uhusiano.
wakati wazungu wanapenda sana lakini kwa muda mfupi wanakinai mapenzi.
kazi kwako lakini hivi vitu haviko general kwa wanaume wote usihukumu kwa jumlajumla
 
Dude must have a hella game. Bangin' the daughter, her mama on the lookout? Can't beat that.

Anyway, elyza tuna group letu whats app tunakutana wahanga wa mapenzi kama wewe, tunashauriana na kufarijiana. Karibu.

Jamani hapa nilikuwa natania tu. Hakuna group wala chochote. My bad.
 
Pole na shughuli za siku wakuu.

Nilikuwa na mchumba ambaye tumedumu nae kwa miezi tisa. Pia uchumba wetu ulishakuwa wazi kwa wazazi wa pande zote mbili, japo bado hakikuwa kimefanyika chochote katika kuhalalisha mahusiano yetu.

Mwezi uliopita nilikwenda nyumbani kwa mchumba wangu bila kumtaarifu, nilikuta mlango umerudishiwa tu, nikataka kuingia mama mwenye nyumba akanifanyia ishara ya kuniita kwa mkono nikaenda kumsikiliza.

Alichoniambia eti nirudi nyumbani nisiingie kwani mpenzi wangu hajisikii vizuri na ameagiza mtu yoyote akija asiingie. Nikatafakari nikaona kama mtu hajisikii vizuri kwanini nisijue shida yake.

Nikamuitia yule mama na kumshukuru kwa taarifa lakini nikaingia ndani, kweli sebuleni hapakuwa na mtu.

Nikasukuma mlango wa chumbani na kuingia. Sikuamini macho yangu nilichokiona inauma sana nilimkuta mpenzi wangu akifanya mapenzi na binti wa mama mwenye nyumba wake.

Niliona hakuna haja ya kugombana kwakuwa hakuwa mume wangu nilichomwambia aendelee na huyo mimi basi tena.

Siku iliyofuata alikuja home alipogonga geti nilichungulia nilipotambua kuwa ni yeye nilimuuliza anasemaje.

Alinijibu kwa dharau kwamba amekuja kunipa taarifa kuwa yule niliyemkuta nae ndiye chaguo lake mimi sina hadhi ya kuwa nae sikuwa na maneno mengi nilimjibu kifupi asante kisha nikafunga geti nakurudi ndani.

Nilipata uchungu sana nililia hata kesho yake sikuweza kwenda kazini
Nikaamua kumtoa moyoni na kwakweli nilimtoa kabisa, nilichukua zawadi zote alizonipa nikamtuma mdada wa kazi ampelekee. Nikajua ndo mwisho wa mawasiliano.

Baada ya wiki kupita akajirudisha nimekataa na simtaki sasa anatishia kuniua nimeripoti polisi na nimepewa RB.

Je, hapo mimi nina makosa?

Kati ya 4 huyo jamaa ni yule m1 wanayemzungumzia
Poleeee dada
Kwa Uzuri wako hustahili kusalitiwa kamwe
 
Back
Top Bottom