Nilikuwa sijui kuhusu CHADEMA.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilikuwa sijui kuhusu CHADEMA..

Discussion in 'Jamii Photos' started by ndetichia, Aug 23, 2011.

 1. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Habari zenu wakuu natumaini muwazima wa afya,

  nilikuwa sijui kama na mtoto wa gadafi na yeye ni cdm kweli chama chenu kiko juu mbaya embu angalia hii snapshot hapa chini

  [​IMG]

  ni hayo tu kwa leo..
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  :peace:" kuendelea kwa tanzania ni mara baada ya sisi kuacha ubinafsi!.


   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Peace Love Rock
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kumbe Chadema ni among vyama vya Freemason?
   
 5. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  safi kumbe chadema ni moja ya chama cha wenye akili?????????????????
   
 6. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  uji wa makopa kwa futari si mchezo!
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Mambo mengi hatuyajui ila usiogope kuuliza. Alama ya vidole viwili ni ISHARA ya ushindi, mkuu wala haijaanzishwa na cdm. cdm wanaituimia kama ishara ya ushindi!
   
 8. Xkalinga

  Xkalinga Senior Member

  #8
  Aug 24, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Yanga kama kichwa cha mwendawazimu,kila mtu ananyoa tu........!!!
   
 9. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Wakati mwingine watanzania tuwe makini sana kwani kama hata waziri mkuu hana mamlaka sasa kwanini awepo.kwa katiba ya sasa ni bora akawe mkuu wa mkoa kwao rukwa
   
 10. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #10
  Aug 24, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  genekai umepatia kabisa,
  Kwa kuongezea tu, alama ya vidole viwili maana yake ni ishara ya vitu viwili -Ushindi na Amani - peace and Victory. Duniani kote inafahamika hivyo. Na lazima kiwe kidole cha kwanza na cha pili (cha kati) Na ndivyo ilivyofafanuliwa vizuri hata kwenye katiba yetu. Ndo maana Dr Slaa alipochakachuliwa kura zake hakuwaambia watu wafanye vurugu alikaa kimya, huku akijua usalama wanaiba kura, alilikuwa analinda amani (PEACE) ambayo ni tunu mmojawapo ambayo Tanzania tunaienzi. Angesema neno kama Raila Odinga wa Kenya, pangechimbika. Desturi ya Chadema, kulinda amani kwa vitendo. Siyo staili ya CCM ya kuongea sana amani, ili akina Jairo na Masaburi wanaposaini mikataba, watu wasiandamane na kufanya fujo- wakaharibu tonge lao.
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Kwa mawazo yako ya kijnga. Kila m2 anayenyosha vdole vwl n chadema?
  Magamba yanashda sana.
   
 12. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,084
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  Hv hospitali ya mirembe imefungwa?
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwani matokeo yake na Moro united yalikuwaje?? (japo umeiingiza kwenye thread isiyohusika)...
   
 14. DCONSCIOUS

  DCONSCIOUS JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,272
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  Hata alama ya chama cha mapinduzi ya jembe na nyundo imekaa kama alama ya X inayo tumiwa na Freemasons! check video ya RUN THS TOWN ya Jey Z inayo elezea u freemason wake.
   
 15. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  umegundua nini..
   
 16. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  inaonesha chadema imekukaaeni? lakini rabda niwwaambie kitu hata kama mtu mmoja akiipigia ccm inatosha kwa ushindi na hivyo viti milivyovipata mtaviota! 2015
   
 17. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #17
  Aug 25, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Kweli nimeamini kinywa cha mtu hutamka yaujazayo moyo wake,vile vile kwa hapa JF avatar ya mhusika huelezea kilichomo kwenye ubongo wake. Avatar ya Rejao imefanana na taahira fulani hivi na hivi ndivyo ulivyo ubongo wake.NAWASILISHA
   
Loading...