Wakwele kama ukoma....ila mbususu zao tamu so kula alafu sepaSingo maza wote mbumbumbu
Nimejikuta namtukania uchi wake huyo bintiKuna binti tumepanga nae pamoja hapa....alimkimbia mumewe Kwa kipigo cha mbwa mwizi...I mean walishindwana Kwa njia hiyo....sasa Kuna mwamba alimchukua waishi naye....jamaa anamhandle vizuri tu ila kasoro yake jamaa ni Lazima apitie kunywa kidogo ndo arudi skani.....namsikia binti akijiongelesha "Yaan baba Fulani alikuwa hanywi kabisa!"....nikamuuliza wamaanisha Nini? Eti,mi Bora nirudi tu Kwa mume wangu😳.......kipigo cha hospital vs pombe kidogo tu🤨 au mie ndo sielewi eti?
Kakinaisha aiseeNimejikuta namtukania uchi wake huyo binti
Kwa nini wasiende kuzika Kwa baba yake muislam na matanga wakafanyia huko!!????HUyu mwanamke aliolewa akiwa na mtoto mwenye umri wa miezi 6 na jamaa mkatoriki
Mtoto kafariki akiwa mkubwa,huyo mwanamke anataka mtoto azikwe kwa imani ya kiislamu
Ebu fikiria nyumbani kwako kufanyike ibada ya imani tofauti na yako,wewe baba wa familia utajisikiaje
Jamaa kaamua kwenda polisi kuzuia maziko.
--
View attachment 2665378
Taharuki kubwa imeibuka huko Mkoani Mwanza baada ya mwili wa marehemu kufikishwa msikitini kuswaliwa kwa maziko lakini baba wa marehemu akazuia asizikwe.
Kwa mujibu wa maelezo ya mama wa marehemu huyo, kabla ya kuolewa mwanaume huyo alimkuta akiwa na mtoto wa miezi sita na kwamba mtoto huyo ana baba yake mwingine ambaye ni Mchaga na ni Muislamu.
Mara baada ya kufariki kwa mtoto huyo, mwanaume huyo ameibuka na kusema kwamba hataki mtoto huyo azikwe kiislamu huku mama wa mtoto akiweka wazi kwamba mtoto huyo siyo mkristo na hivyo anaomba mtoto wake azikwe kwa kufuata taratibu za dini yake ambayo ni dini ya kiislamu.
Aidha, kutokana na mvutano huo, Jeshi la Polisi limelazimika kuingilia kati na kuahirisha mazishi hayo mpaka pale mwanaume huyo aliyedai kwamba mtoto huyo asizikwe kiislamu ataporejea.
Na kama kuna ndoa hapo ndo mwisho wakeMazishi yakafanyike huko kwa akina mwanamke.
Ni vema pia kuheshima maamuzi ya mwenye kaya.
Sasa hapo fikiria, marehemu anampambania azikwe kwa dini ya mumewe. Je, angekuwa hai mtoto? Ungemkataza kutowasiliana na babaye? Ungemkataza kukutana naye?
Ingekuwa rahisi mtoto akazikwe huko kwa baba yake na msiba ukafanyike kwa baba yakeKwahiyo jamaa aliwaoigia simu polisi na kuwaagiza waende msikitini kutumia mazishi? Kwa polisi Hawa ninaowajza Mimi hapo itakuwa katem eza mpunga mrefu sana, alafu huyo jamaa hajielewi maana mtoto sio wake ni mwanamme mwenzake ambaye ni muislamu sasa anampangiaje namna ya kumzika?
Huyo mtoto baba yake ni yupi? Maana maelezo yake yanaonyesha kuna baba wawili tofauti ndiyo baba wa huyo mtoto, acha huyu baba mleziHUyu mwanamke aliolewa akiwa na mtoto mwenye umri wa miezi 6 na jamaa mkatoriki
Mtoto kafariki akiwa mkubwa,huyo mwanamke anataka mtoto azikwe kwa imani ya kiislamu
Ebu fikiria nyumbani kwako kufanyike ibada ya imani tofauti na yako,wewe baba wa familia utajisikiaje
Jamaa kaamua kwenda polisi kuzuia maziko.
--
View attachment 2665378
Taharuki kubwa imeibuka huko Mkoani Mwanza baada ya mwili wa marehemu kufikishwa msikitini kuswaliwa kwa maziko lakini baba wa marehemu akazuia asizikwe.
Kwa mujibu wa maelezo ya mama wa marehemu huyo, kabla ya kuolewa mwanaume huyo alimkuta akiwa na mtoto wa miezi sita na kwamba mtoto huyo ana baba yake mwingine ambaye ni Mchaga na ni Muislamu.
Mara baada ya kufariki kwa mtoto huyo, mwanaume huyo ameibuka na kusema kwamba hataki mtoto huyo azikwe kiislamu huku mama wa mtoto akiweka wazi kwamba mtoto huyo siyo mkristo na hivyo anaomba mtoto wake azikwe kwa kufuata taratibu za dini yake ambayo ni dini ya kiislamu.
Aidha, kutokana na mvutano huo, Jeshi la Polisi limelazimika kuingilia kati na kuahirisha mazishi hayo mpaka pale mwanaume huyo aliyedai kwamba mtoto huyo asizikwe kiislamu ataporejea.
Sina cha kuongezaKuanzia leo sitalaumu kebehi zinazoelekezwa kwetu. Nilitamani sana nisichangie hii mada, ila kwa namna friji langu haligandishi acha niserereke. Aliyeturoga ni nani?? Upendo wa baba wa watu, leo umegeuka kejeli kwake..unamzomea right in his face. Siangalii sana mambo ya dini maana dini zina wenyewe, ninachoujiuliza is this woman in her right state of mind??
Hili jambo lilikua ni la kukaa chini na kusikilizana, lakini mpaka global tv unahojiwa, unadiriki kusema au kisa we baba una hela!! Hela zake hukuzikataa kipindi ameamua kukufuta machozi ya kukataliwa?? Sisi ndio tunaowafanya wanaume wawe the so called "mbwa". We are the ones who created them, nonsense..
Mkuu, bwana yule sio mnoko bali kinacho muumiza ni malezi.Sawa,ni jambo la kukaa kuzungumza tu, bwana nae mnoko,
Jambo dogo kukimbilia polisi.
...Hakujua kama Anaolea na Mkristo ???...Haina shida,mtoto ni wa mama huyo.
Yaani watu wanagombania maiti , aiseee... Hii hatar , mtu akifa amekufa tuu , cha msingi amestiriwa kama binadamu bas .... Sema hzi dini hzi mnaweza uana aiseeHUyu mwanamke aliolewa akiwa na mtoto mwenye umri wa miezi 6 na jamaa mkatoriki
Mtoto kafariki akiwa mkubwa,huyo mwanamke anataka mtoto azikwe kwa imani ya kiislamu
Ebu fikiria nyumbani kwako kufanyike ibada ya imani tofauti na yako,wewe baba wa familia utajisikiaje
Jamaa kaamua kwenda polisi kuzuia maziko.
--
View attachment 2665378
Taharuki kubwa imeibuka huko Mkoani Mwanza baada ya mwili wa marehemu kufikishwa msikitini kuswaliwa kwa maziko lakini baba wa marehemu akazuia asizikwe.
Kwa mujibu wa maelezo ya mama wa marehemu huyo, kabla ya kuolewa mwanaume huyo alimkuta akiwa na mtoto wa miezi sita na kwamba mtoto huyo ana baba yake mwingine ambaye ni Mchaga na ni Muislamu.
Mara baada ya kufariki kwa mtoto huyo, mwanaume huyo ameibuka na kusema kwamba hataki mtoto huyo azikwe kiislamu huku mama wa mtoto akiweka wazi kwamba mtoto huyo siyo mkristo na hivyo anaomba mtoto wake azikwe kwa kufuata taratibu za dini yake ambayo ni dini ya kiislamu.
Aidha, kutokana na mvutano huo, Jeshi la Polisi limelazimika kuingilia kati na kuahirisha mazishi hayo mpaka pale mwanaume huyo aliyedai kwamba mtoto huyo asizikwe kiislamu ataporejea.
Azikwe kiislamu lkn msiba usiwe nyumbani kwakeKiufupi huyo jamaa hana umwanaume na alishaamua kuoa mtu aliezaa tayari si awe mstaarabu mtoto azikwe kwani atapungukiwa nn hajui tu kuwa kama mwanaume