Nilikuwa natranslate tu

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
[h=6]Jamaa baada ya kwisha kuzichoma katoka na kuingia duka la muuza nyama,mara akaingia paka na kuanza kulia nyauuuuuuuu!!!nyauuuuuuuuuuu,
mjamaa akamwambia muuza nyama:" huyo paka anataka robo kilo ya maini"paka akapewa akaila yote,kisha akaanza tena nyauuuuuu!!! nyauuuuuuuu,mjamaa akamwambia muuza nyama "sasa anataka robo kilo ya nyama"paka akapewa akaila yote kisha akatoka kwenda zake.Mwenye duka akamwambia mvuta bangi haya lipa pesa robo kilo ya maini na robo kilo ya nyama,mvuta bangi akajibu " miye yamenihusu nini kwani, nilikua na TRANSLATE tu.
[/h]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom