Ulijifunzia wapi kusifu, hata kama sifa hizo ni za Kibaradhuli?
Hongera mwaJ kwa kuyaweza majigambo;
Umenifanya nicheke baada ya kununa nilipouona kwanza waraka unaodaiwa ni wa wanauamsho.
Shame on them all.
Bazazi!
kuna wakati ulindika asiye na mwana aeleke jiwe hukujua pia kama ni jina langu amaaa??
Ukikutwa gafla unaweza amkia shikamoo nke wangu, shetani alinipitia gafla nikajikuta tayali...
Kuna rafiki yangu alikutwa na kondom akaulizwa vipi mbona unatembea na ndomu wakati humu ndani hatutumii akasema nilipita kwenye promosheni ya PSI...... itaendelea
SANTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!A kiss is a lovely trick designed by nature to stop speech when words become superfluous
Sasa kwani wewe hupendi kuelekwa? Mie nilikuwa nakutafutia watu wa kukubeba wewe unalalamika.
SANTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
miss yu mingi!hebu ukipita mitaa ile drop me something
Hello mtani wangu...kweli tumepotezana kama rupia ya India, kila mtaa ninaojaribu kukusaka naishia kuona vumbi tu, mbio zote za wapi hizo mtani???
hebu nisake mtaa wa hewani mtani!lol!
hizi mbio hiiiiizi!
heheheh...mtani nitakucheck baada ya masaa kama mawili hivi, hapa nilipo kuna reception mbovu sana ya netiweki, sijui utakuwa ushamaliza kusahihisha Zoezi la Maumbo na Mafumbo??
kwani wewe siku hizi huwezi tena kunibeba?? si wote wanajua kubeba.....
Wee wee wee! Jiwe Linaloishi mbona u mtu mbaya hivyo jamani? Utaacha lini uchonganishi? Sasa hapa si unanitafutia balaa bure kwa Mwita Maranya? Bora niache kukuuliza maswali maana usije ukazidi kuharibu wakati wa kunijibu!
hahahaha we uliza tu ntajibu kupitia pm
Mnh! Sasa naona swali ni gumu kuuliza bora niache tu.