Nilikuwa namnongoneza mdomoni..!

Sasa wa kware kama huyu amkute mkewe ananong`oneza mwanaume mdomoni !
Mh wanavyokuja juu na kuzua tafrani!
 
Sasa wa kware kama huyu amkute mkewe ananong`oneza mwanaume mdomoni !
Mh wanavyokuja juu na kuzua tafrani!
Atamwambia mke wa mtu si heshma kumnong'oneza mwanaume mdomoni.............
 
Mabingwa wa kudadavua uwa hawaishiwi majibu hata wakifumaniwa ile kitu live teh teh teh
 
Hio kali inabidi nae mke atafute mtu wa kuteta nae kwa mdomo
 
yani huo utetezi wake hata mtoto atajua ni changa la macho!
 
Hahaaaaa
Utetezi wa ajabu sana.
Ina kera, nahisi mkewe alimwacha kwa uwongo huu
 
Huyu jamaa alikuwa ni bonge la msanii, unaambiwa enzi zake alisumbua sana maana alikuwa ni bingwa wa kujichanganya na wanawake utadhani kojoleo lake linamuwasha.........
alikuwa anatimiza maandiko ya zaeni mkaijaze dunia!
 

Tehe tehe....huyo angekutwa kiunoni mwa huyo mwanamke pia angesingizia alikosa choo jirani cha kushii
 
Eti unamnong'oneza sikioni daaah....makubwa haya
 
Mnh! Sina utani naye katu! Mie niliandika bazazi ya kitabia kumbe ni jina la mtu! Leeloooooooo!
mwaJ:
Usianzishe ligi wala ugomvi;
Kunitusi bila kosa wala nini;
Mwenzio sipendi!
​

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
mwaJ:
Usianzishe ligi wala ugomvi;
Kunitusi bila kosa wala nini;
Mwenzio sipendi!
​

Bazazi!
Bazazi hivyo vyote ulivyotaja (ligi na ugomvi) mie siviwezi na ndio maana nikasema "leeloooo" kama mtoto anayehofia kichapo baada ya kuvunja glass. Halafu kweli ndio nithubutu kukutusi? Kwani sijipendi? Na nikiingalia hiyo sigara unayovuta, shades, kofia na jinsi ulivyonyanyua kola ya koti ndio kabisaaaa, natamani niseme "SHIKAMOO KAKA BAZAZI"! Lol!
 
Last edited by a moderator:
Na nikiingalia hiyo sigara unayovuta, shades, kofia na jinsi ulivyonyanyua kola ya koti ndio kabisaaaa, natamani niseme "SHIKAMOO KAKA BAZAZI"! Lol!

Ulijifunzia wapi kusifu, hata kama sifa hizo ni za Kibaradhuli?
Hongera mwaJ kwa kuyaweza majigambo;

Umenifanya nicheke baada ya kununa nilipouona kwanza waraka unaodaiwa ni wa wanauamsho.
Shame on them all.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Mnh! Sina utani naye katu! Mie niliandika bazazi ya kitabia kumbe ni jina la mtu! Leeloooooooo!

kuna wakati ulindika asiye na mwana aeleke jiwe hukujua pia kama ni jina langu amaaa??

Ukikutwa gafla unaweza amkia shikamoo nke wangu, shetani alinipitia gafla nikajikuta tayali...

Kuna rafiki yangu alikutwa na kondom akaulizwa vipi mbona unatembea na ndomu wakati humu ndani hatutumii akasema nilipita kwenye promosheni ya PSI...... itaendelea
 
Najaribu kufikiria, hilo jibu alilipanga au limemtoka ghafla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…