Nilikuwa namkubali Mbowe na CHADEMA ila...

Wengine mmezoea kulishwa mataputapu ndiyo maana jambo dogo la kawaida tu huwa mnashangilia kama wehu!!
Wewe na utu uzima wako bure tuu. Sijui hata mwanao atajifunza nini kutoka kwako ila si shangai maana unafanana na wenzio hao unaowapigia debe wanasifika kwa ufisadi, umalaya na u dj.
 
Nazungumzia uandishi wa mleta mada. kama na wewe umeupenda jua umezoea kula mataputapu?
 
Nilikua namkubali mbowe na chadema ila baada ya kumkaribisha yule mtu waliekuwa wanampinga na kumtukana kila sehemu yoyote ya nchi na mda wowote basi nikaona huyu sio mtu kabisaa ukimpa nchi ataiuza kwa wazungu na wamarekani kabisa.
Na wale wabunge waliokuwa wanamtukana lowassa nikawaona ni wanafiki tuu na hawana lolote.
Rasmi nikaondoka chadema nikamfata katibu mkuu slaa kwa msimamo wake nikasema hakika huyu ni mwanaume, jeshi la mtu mmoja linapingana na chama! kweli hatari mtu huyu.
Wazee na wasomi kibao walioelimika wakaona hapa chadema hamna lolote wakakiacha chama cha chadema na kufanya mambo mengine na kuwaacha wale vijana ving'ang'anizi kuendelea kudanganya kwa akili zao finyu.
R.I.P Chadema na mbowe mmelikoroga wenyewe. Chama chenu ni dhaifu mno wala msitegemee kuaminiwa tena na uchaguzi ujao mtapoteza sana nafasi za wabunge na urais usikieni tuu hadi mnaingia kaburini.
Pia huyu mroho wa madaraka yani Lipumba aache ujinga wake siku hizi watanzania wameelimika.
Naombeni chadema mmfikishie salamu huyu lipumba mwenzenu asiejitambua.
Slaa hakuondoka chadema kwa mapenzi yake bali alinunuliwa kwa pesa haramu za marehemu Gadafi na membe ambaye ni Adui namba one wa Lowasa usimtete Slaa kwani yy ni mtu hatari sana hata siku akijipanga kuwahadaa watanzania alikosa cha kuongea mpaka Mwakyembe akaenda kumfundisha jinsi ya kuwahadaa watanzania kule Serena Hotel.
 
MANENO YA WAKOSAJI TUU MBONA KABLA HAJAJA LOWASSA MLIKUA MNAMPIGIA DEBE SANA KAMA NI RAIS MTARAJIWA?
Ndio maana nawaambia acheni figisu figusi za kipuuuzi hata mtoto mdogo hamumdanganyi, na nakuhakikishia hamtakaa muipate nchi hata Yesu atakapokuja kama hamtabadilika na uhinu wenu huo. Sisi watanzania hatudanganyiki, mtapiga debe sana maisha yatasonga mtatumia pesa nyingi sana lakin ikulu hamtaiona mtafariki na vizaz vyenu vitajaribu kufata nyayo zenu lakin hamtashinda kwa sababu Mungu yupo anawatambua vyema mioyo yenu.
 
Lipumba na Slaa wote walinunuliwa kwa pesa haramu za marehemu Gadafi ambazo zimehifadhiwa nyumbani kwa Membe Yule adui mkubwa wa Lowasa, lakini mzee wa mihogo yy anaishi kijanja kwa kula mihogo ndiyo maana hajamaliza pesa yake na kubuni mladi wa kurejea chadema ili ale pesa za CCM, lakini Lipumba yy pesa yake aliiteketeza na michepuko kule Rwanda mpaka kaishiwa ndipo kaja na mladi mpya wa kutafuna pesa za CCM kwa kisingizio cha kuwasaidia kudhoofisha upinzani kupitia CUF, madalali wa siasa wapo busy kuvuruga vyama wakiamini 10% zipo nyingi mpaka kufika 2020, mladi wa kudhoofisha upinzani umewatajisha wajanja huko CCM, ebu fikiria pesa za maafa Bukoba hakuna mpaka wamewachangisha wafanyabiashara, lakini pesa za kumpatia Lipumba avuruge ukawa ipo kibao.
 
Nilikua namkubali mbowe na chadema ila baada ya kumkaribisha yule mtu waliekuwa wanampinga na kumtukana kila sehemu yoyote ya nchi na mda wowote basi nikaona huyu sio mtu kabisaa ukimpa nchi ataiuza kwa wazungu na wamarekani kabisa.
Na wale wabunge waliokuwa wanamtukana lowassa nikawaona ni wanafiki tuu na hawana lolote.
Rasmi nikaondoka chadema nikamfata katibu mkuu slaa kwa msimamo wake nikasema hakika huyu ni mwanaume, jeshi la mtu mmoja linapingana na chama! kweli hatari mtu huyu.
Wazee na wasomi kibao walioelimika wakaona hapa chadema hamna lolote wakakiacha chama cha chadema na kufanya mambo mengine na kuwaacha wale vijana ving'ang'anizi kuendelea kudanganya kwa akili zao finyu.
R.I.P Chadema na mbowe mmelikoroga wenyewe. Chama chenu ni dhaifu mno wala msitegemee kuaminiwa tena na uchaguzi ujao mtapoteza sana nafasi za wabunge na urais usikieni tuu hadi mnaingia kaburini.
Pia huyu mroho wa madaraka yani Lipumba aache ujinga wake siku hizi watanzania wameelimika.
Naombeni chadema mmfikishie salamu huyu lipumba mwenzenu asiejitambua.
Umeandika mboji tupu! Unaweza kutaja maeneo na muda ambapo CHADEMA walikuwa wakimtukana? Ungekuwa na Akili ungefuatilia siasa za Slaa na Mbowe baada ya 2010 ungeelewa! Ila kwa kuwa wewe ni kiazi mbatata, unakuja na ngonjera zako leo hii ilihali walioondoka waliondoka kabla ya Oct 25 na haikuleta tofauti yoyote!
Jambo la kufahamu ni kuwa Wapinzani wengi unaowaona leo hii walikuwa ccm kama alivyokuwa Lowassa, sioni kwa nini iwe nongwa kwa yeye kuhamia na kugombea, hata Slaa alihamia na kugombea!
 
MANENO YA WAKOSAJI TUU MBONA KABLA HAJAJA LOWASSA MLIKUA MNAMPIGIA DEBE SANA KAMA NI RAIS MTARAJIWA?
Ndio maana nawaambia acheni figisu figusi za kipuuuzi hata mtoto mdogo hamumdanganyi, na nakuhakikishia hamtakaa muipate nchi hata Yesu atakapokuja kama hamtabadilika na uhinu wenu huo. Sisi watanzania hatudanganyiki, mtapiga debe sana maisha yatasonga mtatumia pesa nyingi sana lakin ikulu hamtaiona mtafariki na vizaz vyenu vitajaribu kufata nyayo zenu lakin hamtashinda kwa sababu Mungu yupo anawatambua vyema mioyo yenu.
Watanzania gani hao unawakilisha? Hawadanganyiki nini? Kwani unadhani hawajui kuwa Slaa alirubuniwa na madalali wa siasa akimbie ukawa ili wadhoofike iwe rahisi CCM kupata ushindi, maneno ya ukosaji yapo wapi? Figisu zipi zipo wapi? ww japo umekariri Akili za madalali wa siasa lakini moyoni utakuwa unajua ukweli ulipo.
 
...................................Chama chenu ni dhaifu mno wala msitegemee kuaminiwa tena na uchaguzi ujao mtapoteza sana nafasi za wabunge na urais usikieni tuu hadi mnaingia kaburini........

chief, sijui ni mimi peke yangu mwenye akili nyanya au? hapo kwenye red mi naona ni kama umejichanganya.

baada ya Chadema kumpokea huyo uliyemwita "majina" walipata kura za urais mara 3 zaidi, wabunge waliongezeka idadi, madiwani ndiyo usiseme na sasa wameshika uongozi wa majiji muhimu na halmashauri kibao. hapo sijahesabu kura zilizoibwa.

kimahesabu, kwenye uchanguzi ujao uongozi wa nchi ni wa UKAWA. naona itabidi uipitie upya tathimini yako chief.
 
Kwa hiyo usipomkubali wewe unataka sisi tufanyeje sasa, nenda zako ww
 
Umeandika mboji tupu! Unaweza kutaja maeneo na muda ambapo CHADEMA walikuwa wakimtukana? Ungekuwa na Akili ungefuatilia siasa za Slaa na Mbowe baada ya 2010 ungeelewa! Ila kwa kuwa wewe ni kiazi mbatata, unakuja na ngonjera zako leo hii ilihali walioondoka waliondoka kabla ya Oct 25 na haikuleta tofauti yoyote!
Jambo la kufahamu ni kuwa Wapinzani wengi unaowaona leo hii walikuwa ccm kama alivyokuwa Lowassa, sioni kwa nini iwe nongwa kwa yeye kuhamia na kugombea, hata Slaa alihamia na kugombea!
UFISADI ndio kero yangu, iweje mtun walikua wanamtukana kwenye mikutano na mtandaoni leo hii wampokee kama sio wehu? halafu hawatoa hoja ya msingi ya kumpokea fisadi
 
chief, sijui ni mimi peke yangu mwenye akili nyanya au? hapo kwenye red mi naona ni kama umejichanganya.

baada ya Chadema kumpokea huyo uliyemwita "majina" walipata kura za urais mara 3 zaidi, wabunge waliongezeka idadi, madiwani ndiyo usiseme na sasa wameshika uongozi wa majiji muhimu na halmashauri kibao. hapo sijahesabu kura zilizoibwa.

kimahesabu, kwenye uchanguzi ujao uongozi wa nchi ni wa UKAWA. naona itabidi uipitie upya tathimini yako chief.
Nazungumzia 2020
 
Kwa hiyo usipomkubali wewe unataka sisi tufanyeje sasa, nenda zako ww
Kwani msiposimamia ukweli mnataka tufanyeje sasa nenda zako na wewe hujalazimishwa kubakia kwenye ukweli ila lengo la hu uzi ni kuwafungua watu akili. We fanya kicha chako kigumu tuu
 
UFISADI ndio kero yangu, iweje mtun walikua wanamtukana kwenye mikutano na mtandaoni leo hii wampokee kama sio wehu? halafu hawatoa hoja ya msingi ya kumpokea fisadi
Fisadi kwa mujibu wa Mamlaka gani ya Kisheria? Siasa ni game, I wish ujifunze kuwa siasa ni game ya aina gani!
 
Back
Top Bottom