Nilikuwa namkubali Mbowe na CHADEMA ila...

Nilikuwa namkubali Mbowe na CHADEMA ila...

Nilikua namkubali mbowe na chadema ila baada ya kumkaribisha yule mtu waliekuwa wanampinga na kumtukana kila sehemu yoyote ya nchi na mda wowote basi nikaona huyu sio mtu kabisaa ukimpa nchi ataiuza
YAANI KAMA ULIKUA KICHWANI KWANGU,MBOWE NI BEPARI YUKO TAYARI KUDHULUMU KUIBA NA HATA KUUA,MAJARIBIO YA KUMTOA ZITTO SADAKA YALISHINDIKANA, HUYU NI BUNDI KWENYE DEMOKRASIA YA NCHI HII.NDUGU ZANGU WATANZANIA MUOGOPENI MKABILA HUYU MDINI HUYU MJIVUNI HUYU KWA MASLAHI YA TAIFA LETU NA VIZAZI VIJAVYO.
 
Hivi akili zako zinakalia wapi
Hata haujitambui wewe kazi kujikomba tu ili mkono uende kinywani.

Hivi unadhani kila mmoja anapokua tofauti na mawazo yenu mnadhani lumumba tu baasii

Acha ujinga na siasa zilizokujaa kichwani.
Mbona unaweweseka wewe ambae siasa hazijakujaa unatafuta nini jukwaa la siasa si ungeenda jukwaa la mapenzi ambalo ni saizi yako
 
YAANI KAMA ULIKUA KICHWANI KWANGU,MBOWE NI BEPARI YUKO TAYARI KUDHULUMU KUIBA NA HATA KUUA,MAJARIBIO YA KUMTOA ZITTO SADAKA YALISHINDIKANA, HUYU NI BUNDI KWENYE DEMOKRASIA YA NCHI HII.NDUGU ZANGU WATANZANIA MUOGOPENI MKABILA HUYU MDINI HUYU MJIVUNI HUYU KWA MASLAHI YA TAIFA LETU NA VIZAZI VIJAVYO.
Huna ndugu wanaoitwa watanzania labda wambie familia yako..mnatembea na mahirizi yanayopumua kuwanga nyumba ya jirani ila inashindikana
 
YAANI KAMA ULIKUA KICHWANI KWANGU,MBOWE NI BEPARI YUKO TAYARI KUDHULUMU KUIBA NA HATA KUUA,MAJARIBIO YA KUMTOA ZITTO SADAKA YALISHINDIKANA, HUYU NI BUNDI KWENYE DEMOKRASIA YA NCHI HII.NDUGU ZANGU WATANZANIA MUOGOPENI MKABILA HUYU MDINI HUYU MJIVUNI HUYU KWA MASLAHI YA TAIFA LETU NA VIZAZI VIJAVYO.
inadurahisha kuona watanzania wenzangu wanaomna mbali kama navyoona mimi.
 
Mbona unaweweseka wewe ambae siasa hazijakujaa unatafuta nini jukwaa la siasa si ungeenda jukwaa la mapenzi ambalo ni saizi yako

Matusi ndo siasa zenu eeh
Jibu hoja toa hoja sio unakaa kutukana watu

Viroba ni jangaa la cdm
 
Hili jitu linaitwa Denis denny sijui halijafi*rwa huko linakuja kumalizia hasira za kukosa bo*ro mimi.
Toka juzi naona wanijibu vibaya tuu post zangu, sasa wewe nitafute tuu. Siku utanipata na nakuhakikishia utaenda nyumbani bila maka*lio maana umezidisha chokochoko sasa.
 
Hizo hirizi mnazozifunga viunoni za nini?
Enjoy bongo politics, wacha hasira unajichora.watu wanakushangaa humu jf, hizi comments tu.usiugue ugonjwa wa moyo.keep calm and join act wazalendo.
 
Kuishi Tanzania siyo laana bali Tanzania kuendelea kuongozwa na CCM ndiyo laana yenyewe hiyo!!
Nadhana laana kuu na kukitusi chama kilichokutoa kule na kukufikisha hapa....ndo maana wapinzan somtym hawafanikiwagi kwa sababu ya hii laana
 
Back
Top Bottom