Nilikuwa namkubali Mbowe na CHADEMA ila...

Nilikuwa namkubali Mbowe na CHADEMA ila...

Nadhana laana kuu na kukitusi chama kilichokutoa kule na kukufikisha hapa....ndo maana wapinzan somtym hawafanikiwagi kwa sababu ya hii laana
Tusi ni kutambua kwamba chama kinachotawala kinaleta laana?
 
Enjoy bongo politics, wacha hasira unajichora.watu wanakushangaa humu jf, hizi comments tu.usiugue ugonjwa wa moyo.keep calm and join act wazalendo.
Vyakushangaa vipo majumba ya makumbusho..wenye stress na maisha ndo mtapata magonjwa ya moyo na kujiunga na hizo gereji bubu ACT muendeleze kilimo cha mawese kiwakomboe
 
Hivi una bwana wewe


Mi sitaki ujinga huo


Naona unaifuatilia sana


Kitukana watu ndio kula yako falasi wewe wa kisengerema
Wakaache kukufatilia unaobinuka nao nikatilie mimi wa viwango vya lami..maana hapa unaandika huku umelegeza kiuno na vidole andika kama mwanaume au chama chenu kimewalegeza hizo misuli..
 
Af kumbe umesimiliwa tu kwamba kinaleta laana kumbe in real sense ni chanzo cha baraka
Sina akili za kushikiwa kwa ivo siihitaji kusimuliwa. Najua laana tuliyo nayo watanzania ni kuendelea kuongozwa na CCM. Mungu katupa akili za kutambua mema na mabaya lakini hatuzitumii na hiyo ndiyo laana yenyewe!!
 
Sina akili za kushikiwa kwa ivo siihitaji kusimuliwa. Najua laana tuliyo nayo watanzania ni kuendelea kuongozwa na CCM. Mungu katupa akili za kutambua mema na mabaya lakini hatuzitumii na hiyo ndiyo laana yenyewe!!
Kweli mkuu akili ya kupambanua ni kukubali kuongozwa na makapi yaliyotokea kwny chama chenye laana na kuyadekia hadi barabara au sio
 
Hili jitu linaitwa Denis denny sijui halijafi*rwa huko linakuja kumalizia hasira za kukosa bo*ro mimi.
Toka juzi naona wanijibu vibaya tuu post zangu, sasa wewe nitafute tuu. Siku utanipata na nakuhakikishia utaenda nyumbani bila maka*lio maana umezidisha chokochoko sasa.
Wewe mporipori uliyekuja mjini kwa fuso ufatiliwe una kitu gani cha maana zaidi ya kulegeza mwili
 
Kweli mkuu akili ya kupambanua ni kukubali kuongozwa na makapi yaliyotokea kwny chama chenye laana na kuyadekia hadi barabara au sio
Kua uyaone mwanangu. Hata vikongwe walishawahi kuwa watoto. Kubadilka ndiyo silka ya binadamu!!
 
LOWASA ANAWAUMIZA SANA POLENI WANA LUMUMBA.....

OVA
 
KURA MILION 6 SI MCHEZO LICHA YA FIGISU FIGISU

OVA
Nilikua namkubali mbowe na chadema ila baada ya kumkaribisha yule mtu waliekuwa wanampinga na kumtukana kila sehemu yoyote ya nchi na mda wowote basi nikaona huyu sio mtu kabisaa ukimpa nchi ataiuza kwa wazungu na wamarekani kabisa.
Na wale wabunge waliokuwa wanamtukana lowassa nikawaona ni wanafiki tuu na hawana lolote.
Rasmi nikaondoka chadema nikamfata katibu mkuu slaa kwa msimamo wake nikasema hakika huyu ni mwanaume, jeshi la mtu mmoja linapingana na chama! kweli hatari mtu huyu.
Wazee na wasomi kibao walioelimika wakaona hapa chadema hamna lolote wakakiacha chama cha chadema na kufanya mambo mengine na kuwaacha wale vijana ving'ang'anizi kuendelea kudanganya kwa akili zao finyu.
R.I.P Chadema na mbowe mmelikoroga wenyewe. Chama chenu ni dhaifu mno wala msitegemee kuaminiwa tena na uchaguzi ujao mtapoteza sana nafasi za wabunge na urais usikieni tuu hadi mnaingia kaburini.
Pia huyu mroho wa madaraka yani Lipumba aache ujinga wake siku hizi watanzania wameelimika.
Naombeni chadema mmfikishie salamu huyu lipumba mwenzenu asiejitambua.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom