Nilikuwa namkubali Mbowe na CHADEMA ila...

Sina akili za kushikiwa kwa ivo siihitaji kusimuliwa. Najua laana tuliyo nayo watanzania ni kuendelea kuongozwa na CCM. Mungu katupa akili za kutambua mema na mabaya lakini hatuzitumii na hiyo ndiyo laana yenyewe!!
Kwa hiyo tuendelezwe na chadema sio?
 
Tanzania kuna mambo ya ajabu sana. Yaani hata kupangilia aya za kile kinachoandikwa inakuwa shida. Mawazo hayana mlingano wala muunganiko katika kile kilichoandikwa halafu hawa ndiyo wanaambiwa wajenge viwanda!!
Marehemu chandomo
 
Uandishi na Uchaguzi vinahusiana vipi? Kwa taarifa yako huko tuendako itakuwa ama mkubali au tuwazimishe kukubali kushindwa, tunza maneno haya!!
Allen acha kutumiwa na hao watuhumiwa wa ufisadi. Hivi unadhan nani atakwenda wakabidhi watuhumiwa wa ufisadi nchi hii. Unahitaji laana toka kwa Mungu au
 
Tanzania kuna mambo ya ajabu sana. Yaani hata kupangilia aya za kile kinachoandikwa inakuwa shida. Mawazo hayana mlingano wala muunganiko katika kile kilichoandikwa halafu hawa ndiyo wanaambiwa wajenge viwanda!!
Kwaani ye mwandishi wa habari? Ukitaka mlingano wa aya nenda kasomee huko.
 
Tanzania kuna mambo ya ajabu sana. Yaani hata kupangilia aya za kile kinachoandikwa inakuwa shida. Mawazo hayana mlingano wala muunganiko katika kile kilichoandikwa halafu hawa ndiyo wanaambiwa wajenge viwanda!!
Jenga hoja! Achana na mambo ya utoto. Message umeielewa sana
 
Back
Top Bottom