God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
Nilikua namkubali mbowe na chadema ila baada ya kumkaribisha yule mtu waliekuwa wanampinga na kumtukana kila sehemu yoyote ya nchi na mda wowote basi nikaona huyu sio mtu kabisaa ukimpa nchi ataiuza kwa wazungu na wamarekani kabisa.
Na wale wabunge waliokuwa wanamtukana lowassa nikawaona ni wanafiki tuu na hawana lolote.
Rasmi nikaondoka chadema nikamfata katibu mkuu slaa kwa msimamo wake nikasema hakika huyu ni mwanaume, jeshi la mtu mmoja linapingana na chama! kweli hatari mtu huyu.
Wazee na wasomi kibao walioelimika wakaona hapa chadema hamna lolote wakakiacha chama cha chadema na kufanya mambo mengine na kuwaacha wale vijana ving'ang'anizi kuendelea kudanganya kwa akili zao finyu.
R.I.P Chadema na mbowe mmelikoroga wenyewe. Chama chenu ni dhaifu mno wala msitegemee kuaminiwa tena na uchaguzi ujao mtapoteza sana nafasi za wabunge na urais usikieni tuu hadi mnaingia kaburini.
Pia huyu mroho wa madaraka yani Lipumba aache ujinga wake siku hizi watanzania wameelimika.
Naombeni chadema mmfikishie salamu huyu lipumba mwenzenu asiejitambua.