Nilikua nasikia tu kwa watu leo nimeamini kwamba wanawake sio wa kuwaamini

Wewe umejuaje Kama kweli alikuwa namaanisha??. Meseji tu ndiyo unapaniki hivyo?? Je ungemfumania??

Nadhani sasa hivi ungekuwa UKONGA
 
Daaaah sijui hata nikujibi vp......hiv kweli mtu alieingia kwnye relation sababu ya kufanya uchunguzi anaumiaga kweli.......Hakuna cha uchunguzi wala nn ilikua ni love tu.....

Sijui kwa nn unaona kama mm ndo nimekosea!!!!

Labda sababi ni mwanamke mwenzio ndo mana hujaadress popote kama nae kakosea,,,,
 
Wewe umejuaje Kama kweli alikuwa namaanisha??. Meseji tu ndiyo unapaniki hivyo?? Je ungemfumania??

Nadhani sasa hivi ungekuwa UKONGA
Hahahahaa,,,,, umesoma mwishoni tu.....hebu anza mwanzo bhana.........hivi kweli mtu kukuambia yupo kwa mume wake usimsumbue,,,, plus baada ya kumpigia anakijibu short cut,,,,plus huko nyuma alikata kabisa mawasiliano na wewe......

Then uanze et kuwaza kwamba "" alikua anamaanisha au lah""" are u normal
 
Nasema hivyo kutokana namaelezo yako, ulimuuliza sababu ni nini mpaka akwambie hivyo???
Mtu hawezi kukurupuka tu huko aanze kukwambia ooh usitume msj wakati ulikuwa ukiwajibika Kama mwaaume.??

Au mwenzetu una kibai unatuficha.?? Kuwa wazi jf doctor ipo kwaajili yako...
 
Ndiyo maana nikasema hatuangalii zaidi wajibu wetu. Mapenzi ya kuridhisha miili yamejawa na ahadi nyingi zisizo na uhalisia.
Inapotokea mtu amempata anayemuona anafaa kuishi naye sioni kosa kwake kufanya maamuzi. Ni kweli kuwa inauma kwa mpenzi wake,lakini kwa nini usifurahi kuona mwenzio ameamua kubadili mtindo wa maisha na kuishi maisha yanayomfaa

Inawezekana aliona dalili mbaya mapema,ila kwa utu uzima akaamua kukaa kimya hukubakiendelea na mipango yake. Inawezekana hata kuugua alitaka kutumia kama stepping stone ya kuonewa huruma(sina hakika so usinihukumu ktk hili)

Mimi ni mwanaume,always tunafanya mistakes,na wanawake wanatukosea pia. Kitu cha msingi ni kutafuta kutatua tatizo bila kuathiri upande wa mwingine.

Tatizo lingine,tunajitahidi kutumia misemo ya zamani ambayo wakati inatungwa kulikuwa na true love kuanzia uchumba hadi kwenye ndoa.
 
Labda alitaka kuku-suprise tu
 
Hahahahaa na hako ndo kapoint kenu wanawake mkisha ingiwaga na tamaa za mtu mwingine au mahusiano kwenda kombo,,,,,siku hizi wanaume tumeshakazoeaa........

Kuhusu mzigo wangu ni kwamba siwez thibitisha kwa maneno wala njia yoyote na nikaaminika.....but dah Mungu hajaninyima kwa kweli
 
Ungekuwa umemuoa sawa.lakini mpenzi tu anafanya chochote na muda wowowte
Ni kweli....ndo mana nimeamua tu kuumia na kupotezea....but kuleta mada hapa ni ili nipate mawazo mbali mbali ya wadau juu ya hili na kuelezea msimamo wangu wa sasa kwa wanawake na kupata relief ya moyo na akili..
 
Wanadamu wote tunafanana na ni wapuuzi sana hata sisi wanaume tunatabia kama hizohizo !
Ni kweli....ndo mana nimeamua tu kuumia na kupotezea....but kuleta mada hapa ni ili nipate mawazo mbali mbali ya wadau juu ya hili na kuelezea msimamo wangu wa sasa kwa wanawake na kupata relief ya moyo na akili..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…