Nilikua nasikia tu kwa watu leo nimeamini kwamba wanawake sio wa kuwaamini

culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
5,303
Likes
8,589
Points
280
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
5,303 8,589 280
Nadhani wanaume wa Jf mnatakiwe mkasomee ukasisi maana huko mwiko kua na mwanamke ili tupunguze vilio vilio.... kishakwambia yupo na mumewe sasa unaanza kutoa povu wanawake mashetani sijui nini ulitaka akusubiri mpk lini wakati huoneshi kujivuta hata kapete ka machinga!!
 
Mtoto wa Baba

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Messages
896
Likes
1,083
Points
180
Age
24
Mtoto wa Baba

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2018
896 1,083 180
Kwa mda mrefu sana nilikua nasikia sikia tu baadhi ya wanaume wenzangu wakizungumza,,, nilikua nabisha sana mpka wengine mabishano yetu yalikua yanaleta mizozo ya kushikana mashati kutaka hata kupigana.

Yote ilikua ni kuhakikisha nawetetea sana hawa viumbe wa Mungu.

Lakini leo nimejionea na nimeamini kabisa.

Kwamba....

WANAWAKE NI MASHETANI,,,,,,,AND DONT TRUST THEM ANY MORE.,,,,,,,,NI AFADHALI NIKAAMUA KUWAGEUZA KANA CHOMBO CHA STAREHE KWANGU LAKINI SIO KUWACHUKULIA KAMA BINADAMU WENZANGU NA KUWAAMINI......

Not anymore.

Msiniulize nin kimenikuta ila eleweni tu hivo.

UPDATE.....

Wengi mmehitaji nieleze ilikuaje nisiwaache mna hang hang tu.....sasa ngoja nimalizie tu dukuduku lote .

From no where tu .........nilikua naumwa sana week iliopita as usual tukawa tunawasiliana sana na mapole plus maugua pole ya kutosha tu kaka......na tangu siku za nyuma tunawasiliana na kufanya mambo yote kama mtu na mpenz wake aisee......yani kwa kifupi physically tulikua tunapendana sana na kwa upandw wake nilimpenda mpka moyoni mwangu alikaa.

Sasa mim kwakuwa homa ilikua imenikamata sana basi hata simu nilikua nashindwa kushika ila ikitokea meseji au kupigiwa najitahidi napoke.

Sasa zikapita kama week na siku kadhaa hvi hajanitafuta. Sikuona tatizo sana mana as a normal human being kuwa bize na maswala yake mbali mbali kunakuepo....

Basi mi mpka nimepata nafuu kabisa na leo nimetoka hospital kupima na kucheki afya nimekuta kama nilivo fit physically basi hata ndani ya mwili maralia hakuna.

Sasa nikaona ngoja nimcheki mupemzi wa mtima wangu bhana....
Nikapiga simu akapokea but akawa anajibu na kuongea as if anajilazmisha tu lkn hataki kuongea......ghafla akakata na simu kana kwamba kapiga yeye.

Nkajisemea kimoyomoyo "" Huyu vp tena""

Nikamtext "" vp kwema, mbona unakata simu hata sijamaliza kuongea lengo langu la kukupigi"" kulikoni,, unaumwa au kuna shida yoyote""

Jibu nililipata baada ya hapo,,,,,nilikua nimeshika mlango wa bafuni mpka nikataka kuanguka.

Alijibu hivu.

""Usinitumie tena meseji nipo na Mume wangu usije ukaniharibia""

Sijamjibu kitu mpka dakika hii,,,,, na hapa nivoleta huu uzi hapa na kujadili kdogo na nyie wadau wangu naona ghafla duku la moyoni limepungua na nimejikuta kurelax kabisa

Hapo sijamkosea wala hatujakoseana kitu........kama ni ubahili kwake nilikua sina yani mapenzi yalikua fresh tu.

Na hio ni leo kanifanyia hivo.

Sasa nikisema huo ni USHETANI nani atanipinga hapa wakui.
Kumbe mkichapiwa huwa mnaumia??
 
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Messages
3,346
Likes
4,106
Points
280
monde arabe

monde arabe

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2017
3,346 4,106 280
Ungempigia mara nyingi nyingi mpaka hapo ambapo angepokea yeye mwenyewe au mumewe then ungemuuliza "naona kuna ujumbe umenitumia mbona kam siuelewi?"
Kwa kuwa umeona msg na umkaa kimya siku akizinguliwa na huyo bwana'ake atakutafuta na kukwambia kuwa cm yangu alikuwanayo shoga'angu mmoja hivi kwa hiyo akaamua kukutumia ujembe akijifanya yeye ni bwana'angu lengo lake ni kututenganisha so unajua binadamu walivyo wabaya"
 
M

Mwambwaro

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
1,166
Likes
456
Points
180
M

Mwambwaro

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
1,166 456 180
Pole mkuu siku zotee Huwa tunasema na tunazid kusema usimwamin Mwanamke hilo liwe akilin mwako Weka akilin mwako Hapo usishtuke ona n kitu cha kawaida
 
BILGERT

BILGERT

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
3,418
Likes
3,647
Points
280
BILGERT

BILGERT

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
3,418 3,647 280
From no where tu kaka.........nilikua naumwa sana week iliopita as usual tukawa tunawasiliana sana na mapole plus maugua pole ya kutosha tu kaka......na tangu siku za nyuma tunawasiliana na kufanya mambo yote kama mtu na mpenz wake aisee......yani kwa kifupi physically tulikua tunapendana sana na kwa upandw wake nilimpenda mpka moyoni mwangu alikaa.

Sasa mim kwakuwa homa ilikua imenikamata sana basi hata simu nilikua nashindwa kushika ila ikitokea meseji au kupigiwa najitahidi napoke.

Sasa zikapita kama week na siku kadhaa hvi hajanitafuta. Sikuona tatizo sana mana as a normal human being kuwa bize na maswala yake mbali mbali kunakuepo....

Basi mi mpka nimepata nafuu kabisa na leo nimetoka hospital kupima na kucheki afya nimekuta kama nilivo fit physically basi hata ndani ya mwili maralia hakuna.

Sasa nikaona ngoja nimcheki mupemzi wa mtima wangu bhana....
Nikapiga simu akapokea but akawa anajibu na kuongea as if anajilazmisha tu lkn hataki kuongea......ghafla akakata na simu kana kwamba kapiga yeye.

Nkajisemea kimoyomoyo "" Huyu vp tena""

Nikamtext "" vp kwema, mbona unakata simu hata sijamaliza kuongea lengo langu la kukupigi"" kulikoni,, unaumwa au kuna shida yoyote""

Jibu nililipata baada ya hapo,,,,,nilikua nimeshika mlango wa bafuni mpka nikataka kuanguka.

Alijibu hivu.

""Usinitumie tena meseji nipo na Mume wangu usije ukaniharibia""

Sijamjibu kitu mpka dakika hii,,,,, na hapa nivoleta huu uzi hapa na kujadili kdogo na nyie wadau wangu naona ghafla duku la moyoni limepungua na nimejikuta kurelax kabisa

Hapo sijamkosea wala hatujakoseana kitu........kama ni ubahili kwake nilikua sina yani mapenzi yalikua fresh tu.

Na hio ni leo kanifanyia hivo.

Sasa nikisema huo ni USHETANI nani atanipinga hapa wakui.
Daah pole saana mkuu..I,m speachless.
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,468
Likes
4,109
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,468 4,109 280
Yaaah nimechukulia tu kama sehem ya darasa
Pole mkuu siku zotee Huwa tunasema na tunazid kusema usimwamin Mwanamke hilo liwe akilin mwako Weka akilin mwako Hapo usishtuke ona n kitu cha kawaida
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,468
Likes
4,109
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,468 4,109 280
Ungempigia mara nyingi nyingi mpaka hapo ambapo angepokea yeye mwenyewe au mumewe then ungemuuliza "naona kuna ujumbe umenitumia mbona kam siuelewi?"
Kwa kuwa umeona msg na umkaa kimya siku akizinguliwa na huyo bwana'ake atakutafuta na kukwambia kuwa cm yangu alikuwanayo shoga'angu mmoja hivi kwa hiyo akaamua kukutumia ujembe akijifanya yeye ni bwana'angu lengo lake ni kututenganisha so unajua binadamu walivyo wabaya"
Aaaaahh hawezi kuingia tena kwnye maisha yangu......labda akaniroge
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,468
Likes
4,109
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,468 4,109 280
Kwa hyo ww unaona kila aneitwa mume ni mume na kila anaeitwa mke ni mke............mim mwenyew mbona kanita mume mara kibao tu,,,,,sasa mpka kuja kuolewa atakua kaita wangapi......au unadhani ni mume wake wa ndoa!!???
Nadhani wanaume wa Jf mnatakiwe mkasomee ukasisi maana huko mwiko kua na mwanamke ili tupunguze vilio vilio.... kishakwambia yupo na mumewe sasa unaanza kutoa povu wanawake mashetani sijui nini ulitaka akusubiri mpk lini wakati huoneshi kujivuta hata kapete ka machinga!!
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,468
Likes
4,109
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,468 4,109 280
Kutendwa atendwe mwanaume dunia nzima itajua, ila akitenda mwanaume (akitendwa mwanamke) aahh yeye ni kidume cha mbeguu na mwanamke ni mvumilivu atulie tuu na mwenzie apate utamu.

Siku hizi kuna msemo wa pambana na hali yako, na kitu kikikupata saa nyingine usitake kujua sana sababu ya hiki kitu kutrokea. Endfelea mbele ukikutana na kitu kingine maisha yanaendelea kama kawaida.

Ilinisumbua sana hii kitu wakati niko mschana, ila tangu niwe mtu mzima, nikiwa nae uso kwa uso mahaba mia mia, na akiwa na wengine mie hata hainisumbui maana anapambana na hali yake ila akirudi kwangu kwa raha zetuuu.

Kama hukuwahi kumdanganya chochote kwenye maisha yako basi pole ila kama nawewe ulishawahi kukosea au kumdanganya vumilia tuu, jikaze piga ukunga hasira na maumivu yaishe kisha maisha yaendelee.

Kasie Motomoto.
Point yako nimeichukua mtaalam..........najihisi kikomaa sana kimahusiano na maswala haya ya mapenzi sasa
 
BILGERT

BILGERT

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
3,418
Likes
3,647
Points
280
BILGERT

BILGERT

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
3,418 3,647 280
Mkuu,hapo utapitia kipindi kigumu saana.moving on kwa mwanamke ulo mpenda na mlikaa kwa muda mrefu sio rahisi..
Kuna kipindi utalia,utakosa usingizi,utambembeleza,utapiga saana simu,utatuma sana sms,utakosa hamu ya kula,utakuwa mwenye hasira mara zote....
In short it will take time,, But never loose hope.Mungu atakuwa upande wako na utaibuka mshindi.
Nayajua maumivu yake,
 
gigabyte

gigabyte

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
741
Likes
592
Points
180
Age
35
gigabyte

gigabyte

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
741 592 180
Kwenye dunia ya mapenzi na wanawake mwenye kisu kikali ndiye anayekula nyama.sasa bro kama kisu chako kimeisha makali kakinoe maana inaonekana kilikua butu na hukuona haja yakukinoa sasa amejitokeza mwenye chenye makali anakulia saa hizi.Inauma ila vumilia alafu Noa chako ukajibu mashambulizi kwakuchukua nyama mpya alafu ile kisawasawa ili aliyekimbia mabutu ya kisu chako apagawe.
 
Forum statistics

Threads 1,238,954
Members 476,289
Posts 29,337,891