Nilikua nasikia tu kwa watu leo nimeamini kwamba wanawake sio wa kuwaamini

Pole sana mkuu,kwa wale wanywaji hapo lazima ungejaribu kumaliza kreti kazaa;jaribu kutafuta mtu sahihi,wapo wengi ila kuwapata inabidi kichwa kitulie.
 
Kwa mda mrefu sana nilikua nasikia sikia tu baadhi ya wanaume wenzangu wakizungumza,,, nilikua nabisha sana mpka wengine mabishano yetu yalikua yanaleta mizozo ya kushikana mashati kutaka hata kupigana.

Yote ilikua ni kuhakikisha nawetetea sana hawa viumbe wa Mungu.

Lakini leo nimejionea na nimeamini kabisa.

Kwamba....

WANAWAKE NI MASHETANI,,,,,,,AND DONT TRUST THEM ANY MORE.,,,,,,,,NI AFADHALI NIKAAMUA KUWAGEUZA KANA CHOMBO CHA STAREHE KWANGU LAKINI SIO KUWACHUKULIA KAMA BINADAMU WENZANGU NA KUWAAMINI......

Not anymore.

Msiniulize nin kimenikuta ila eleweni tu hivo.

UPDATE.....

Wengi mmehitaji nieleze ilikuaje nisiwaache mna hang hang tu.....sasa ngoja nimalizie tu dukuduku lote .

From no where tu .........nilikua naumwa sana week iliopita as usual tukawa tunawasiliana sana na mapole plus maugua pole ya kutosha tu kaka......na tangu siku za nyuma tunawasiliana na kufanya mambo yote kama mtu na mpenz wake aisee......yani kwa kifupi physically tulikua tunapendana sana na kwa upandw wake nilimpenda mpka moyoni mwangu alikaa.

Sasa mim kwakuwa homa ilikua imenikamata sana basi hata simu nilikua nashindwa kushika ila ikitokea meseji au kupigiwa najitahidi napoke.

Sasa zikapita kama week na siku kadhaa hvi hajanitafuta. Sikuona tatizo sana mana as a normal human being kuwa bize na maswala yake mbali mbali kunakuepo....

Basi mi mpka nimepata nafuu kabisa na leo nimetoka hospital kupima na kucheki afya nimekuta kama nilivo fit physically basi hata ndani ya mwili maralia hakuna.

Sasa nikaona ngoja nimcheki mupemzi wa mtima wangu bhana....
Nikapiga simu akapokea but akawa anajibu na kuongea as if anajilazmisha tu lkn hataki kuongea......ghafla akakata na simu kana kwamba kapiga yeye.

Nkajisemea kimoyomoyo "" Huyu vp tena""

Nikamtext "" vp kwema, mbona unakata simu hata sijamaliza kuongea lengo langu la kukupigi"" kulikoni,, unaumwa au kuna shida yoyote""

Jibu nililipata baada ya hapo,,,,,nilikua nimeshika mlango wa bafuni mpka nikataka kuanguka.

Alijibu hivu.

""Usinitumie tena meseji nipo na Mume wangu usije ukaniharibia""

Sijamjibu kitu mpka dakika hii,,,,, na hapa nivoleta huu uzi hapa na kujadili kdogo na nyie wadau wangu naona ghafla duku la moyoni limepungua na nimejikuta kurelax kabisa

Hapo sijamkosea wala hatujakoseana kitu........kama ni ubahili kwake nilikua sina yani mapenzi yalikua fresh tu.

Na hio ni leo kanifanyia hivo.

Sasa nikisema huo ni USHETANI nani atanipinga hapa wakui.
Hakuna hawa viumbe shetani kweli,tupo nae huku mmoja hapa bank Namtumbo anaishi na mume wa mtu mwaka wa pili huu,ana mchumba wake mkoa mwingine anamuoa hivi karibuni! Jamaa angejua tunampa pole sana washikaji huku, popote ulipo Humpfrey Tillya huyu Mnyaturu wako Rose J L hakufai.
 
Duuuuhj kaka sidhani kama kulikua na ulazima wa kitaja majina lakn.......utaharibia mtu ndoa yake kwa kweli
Hakuna hawa viumbe shetani kweli,tupo nae huku mmoja hapa bank Namtumbo anaishi na mume wa mtu mwaka wa pili huu,ana mchumba wake mkoa mwingine anamuoa hivi karibuni! Jamaa angejua tunampa pole sana washikaji huku, popote ulipo Humpfrey Tillya huyu Mnyaturu wako Rose J L hakufai.
 
Hakuna hawa viumbe shetani kweli,tupo nae huku mmoja hapa bank Namtumbo anaishi na mume wa mtu mwaka wa pili huu,ana mchumba wake mkoa mwingine anamuoa hivi karibuni! Jamaa angejua tunampa pole sana washikaji huku, popote ulipo Humpfrey Tillya huyu Mnyaturu wako Rose J L hakufai.
Afu hao wanyaturu nao ni taka taka kabisa yn....yn huko singida ndo hamna kabisa wa kuoa huko.......bora ukaoe makete ukingani kuliko singida mjomba
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka kama sisi mashetani basi na wewe ni shetani pia maana umezaliwa na mwanamke unayemuita shetani.
Na huyo binti kakuweza ukome
 
Kwa mda mrefu sana nilikua nasikia sikia tu baadhi ya wanaume wenzangu wakizungumza,,, nilikua nabisha sana mpka wengine mabishano yetu yalikua yanaleta mizozo ya kushikana mashati kutaka hata kupigana.

Yote ilikua ni kuhakikisha nawetetea sana hawa viumbe wa Mungu.

Lakini leo nimejionea na nimeamini kabisa.

Kwamba....

WANAWAKE NI MASHETANI,,,,,,,AND DONT TRUST THEM ANY MORE.,,,,,,,,NI AFADHALI NIKAAMUA KUWAGEUZA KANA CHOMBO CHA STAREHE KWANGU LAKINI SIO KUWACHUKULIA KAMA BINADAMU WENZANGU NA KUWAAMINI......

Not anymore.

Msiniulize nin kimenikuta ila eleweni tu hivo.

UPDATE.....

Wengi mmehitaji nieleze ilikuaje nisiwaache mna hang hang tu.....sasa ngoja nimalizie tu dukuduku lote .

From no where tu .........nilikua naumwa sana week iliopita as usual tukawa tunawasiliana sana na mapole plus maugua pole ya kutosha tu kaka......na tangu siku za nyuma tunawasiliana na kufanya mambo yote kama mtu na mpenz wake aisee......yani kwa kifupi physically tulikua tunapendana sana na kwa upandw wake nilimpenda mpka moyoni mwangu alikaa.

Sasa mim kwakuwa homa ilikua imenikamata sana basi hata simu nilikua nashindwa kushika ila ikitokea meseji au kupigiwa najitahidi napoke.

Sasa zikapita kama week na siku kadhaa hvi hajanitafuta. Sikuona tatizo sana mana as a normal human being kuwa bize na maswala yake mbali mbali kunakuepo....

Basi mi mpka nimepata nafuu kabisa na leo nimetoka hospital kupima na kucheki afya nimekuta kama nilivo fit physically basi hata ndani ya mwili maralia hakuna.

Sasa nikaona ngoja nimcheki mupemzi wa mtima wangu bhana....
Nikapiga simu akapokea but akawa anajibu na kuongea as if anajilazmisha tu lkn hataki kuongea......ghafla akakata na simu kana kwamba kapiga yeye.

Nkajisemea kimoyomoyo "" Huyu vp tena""

Nikamtext "" vp kwema, mbona unakata simu hata sijamaliza kuongea lengo langu la kukupigi"" kulikoni,, unaumwa au kuna shida yoyote""

Jibu nililipata baada ya hapo,,,,,nilikua nimeshika mlango wa bafuni mpka nikataka kuanguka.

Alijibu hivu.

""Usinitumie tena meseji nipo na Mume wangu usije ukaniharibia""

Sijamjibu kitu mpka dakika hii,,,,, na hapa nivoleta huu uzi hapa na kujadili kdogo na nyie wadau wangu naona ghafla duku la moyoni limepungua na nimejikuta kurelax kabisa

Hapo sijamkosea wala hatujakoseana kitu........kama ni ubahili kwake nilikua sina yani mapenzi yalikua fresh tu.

Na hio ni leo kanifanyia hivo.

Sasa nikisema huo ni USHETANI nani atanipinga hapa wakui.
Hivi shule znafunguliwa lin??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom