Nilikua nasikia tu kwa watu leo nimeamini kwamba wanawake sio wa kuwaamini


Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
7,031
Likes
9,373
Points
280
Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
7,031 9,373 280
Wewe umejuaje Kama kweli alikuwa namaanisha??. Meseji tu ndiyo unapaniki hivyo?? Je ungemfumania??

Nadhani sasa hivi ungekuwa UKONGA
From no where tu kaka.........nilikua naumwa sana week iliopita as usual tukawa tunawasiliana sana na mapole plus maugua pole ya kutosha tu kaka......na tangu siku za nyuma tunawasiliana na kufanya mambo yote kama mtu na mpenz wake aisee......yani kwa kifupi physically tulikua tunapendana sana na kwa upandw wake nilimpenda mpka moyoni mwangu alikaa.

Sasa mim kwakuwa homa ilikua imenikamata sana basi hata simu nilikua nashindwa kushika ila ikitokea meseji au kupigiwa najitahidi napoke.

Sasa zikapita kama week na siku kadhaa hvi hajanitafuta. Sikuona tatizo sana mana as a normal human being kuwa bize na maswala yake mbali mbali kunakuepo....

Basi mi mpka nimepata nafuu kabisa na leo nimetoka hospital kupima na kucheki afya nimekuta kama nilivo fit physically basi hata ndani ya mwili maralia hakuna.

Sasa nikaona ngoja nimcheki mupemzi wa mtima wangu bhana....
Nikapiga simu akapokea but akawa anajibu na kuongea as if anajilazmisha tu lkn hataki kuongea......ghafla akakata na simu kana kwamba kapiga yeye.

Nkajisemea kimoyomoyo "" Huyu vp tena""

Nikamtext "" vp kwema, mbona unakata simu hata sijamaliza kuongea lengo langu la kukupigi"" kulikoni,, unaumwa au kuna shida yoyote""

Jibu nililipata baada ya hapo,,,,,nilikua nimeshika mlango wa bafuni mpka nikataka kuanguka.

Alijibu hivu.

""Usinitumie tena meseji nipo na Mume wangu usije ukaniharibia""

Sijamjibu kitu mpka dakika hii,,,,, na hapa nivoleta huu uzi hapa na kujadili kdogo na nyie wadau wangu naona ghafla duku la moyoni limepungua na nimejikuta kurelax kabisa

Hapo sijamkosea wala hatujakoseana kitu........kama ni ubahili kwake nilikua sina yani mapenzi yalikua fresh tu.

Na hio ni leo kanifanyia hivo.

Sasa nikisema huo ni USHETANI nani atanipinga hapa wakui.
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,468
Likes
4,109
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,468 4,109 280
Asilimia kubwa Sasa hivi mapenzi ya kweli hamna, wenye upendo wa dhati niwachache sana kwahiyo wengi waliyopo kwenye mahusiano wapo tu kwasababu ya kuridhisha tamaa zao.

Kwahiyo ikitokea swala km lahuyu jamaa mtoa mada mtu kuanza kufikiria mema aliyifanyiwa inakuwa ni ngumu kwasababu hakuingia kwenye mahusiano kwasababu ya mema aliingia kwaajili ya Tama...

Nirudi kwa mleta mada Kama umemfumania girlfriend wako, mkeo? Whatever wewe hukuingia kwenye mahusiano kwaajili love uliingia kwenda kuhakikisha je? Nikweli hawa wanayoyasema kuhusu wanawake....

So ulikuwa kwenye upelelezi na si relationship
Daaaah sijui hata nikujibi vp......hiv kweli mtu alieingia kwnye relation sababu ya kufanya uchunguzi anaumiaga kweli.......Hakuna cha uchunguzi wala nn ilikua ni love tu.....

Sijui kwa nn unaona kama mm ndo nimekosea!!!!

Labda sababi ni mwanamke mwenzio ndo mana hujaadress popote kama nae kakosea,,,,
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,468
Likes
4,109
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,468 4,109 280
Wewe umejuaje Kama kweli alikuwa namaanisha??. Meseji tu ndiyo unapaniki hivyo?? Je ungemfumania??

Nadhani sasa hivi ungekuwa UKONGA
Hahahahaa,,,,, umesoma mwishoni tu.....hebu anza mwanzo bhana.........hivi kweli mtu kukuambia yupo kwa mume wake usimsumbue,,,, plus baada ya kumpigia anakijibu short cut,,,,plus huko nyuma alikata kabisa mawasiliano na wewe......

Then uanze et kuwaza kwamba "" alikua anamaanisha au lah""" are u normal
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,468
Likes
4,109
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,468 4,109 280
Wew Lovely mum umenikamia sana.......hebu tuvuke hiv vizingiti vyote twende kwenye point,,,,, huyo mwanamke ndo keshanifanyia hivo....

Your advice to me pplllzz...........You may have some useful points.
 
Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
7,031
Likes
9,373
Points
280
Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
7,031 9,373 280
Nasema hivyo kutokana namaelezo yako, ulimuuliza sababu ni nini mpaka akwambie hivyo???
Mtu hawezi kukurupuka tu huko aanze kukwambia ooh usitume msj wakati ulikuwa ukiwajibika Kama mwaaume.??

Au mwenzetu una kibai unatuficha.?? Kuwa wazi jf doctor ipo kwaajili yako...
Daaaah sijui hata nikujibi vp......hiv kweli mtu alieingia kwnye relation sababu ya kufanya uchunguzi anaumiaga kweli.......Hakuna cha uchunguzi wala nn ilikua ni love tu.....

Sijui kwa nn unaona kama mm ndo nimekosea!!!!

Labda sababi ni mwanamke mwenzio ndo mana hujaadress popote kama nae kakosea,,,,
 
Lucky Star

Lucky Star

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Messages
685
Likes
781
Points
180
Lucky Star

Lucky Star

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2017
685 781 180
Ndiyo maana nikasema hatuangalii zaidi wajibu wetu. Mapenzi ya kuridhisha miili yamejawa na ahadi nyingi zisizo na uhalisia.
Inapotokea mtu amempata anayemuona anafaa kuishi naye sioni kosa kwake kufanya maamuzi. Ni kweli kuwa inauma kwa mpenzi wake,lakini kwa nini usifurahi kuona mwenzio ameamua kubadili mtindo wa maisha na kuishi maisha yanayomfaa

Inawezekana aliona dalili mbaya mapema,ila kwa utu uzima akaamua kukaa kimya hukubakiendelea na mipango yake. Inawezekana hata kuugua alitaka kutumia kama stepping stone ya kuonewa huruma(sina hakika so usinihukumu ktk hili)

Mimi ni mwanaume,always tunafanya mistakes,na wanawake wanatukosea pia. Kitu cha msingi ni kutafuta kutatua tatizo bila kuathiri upande wa mwingine.

Tatizo lingine,tunajitahidi kutumia misemo ya zamani ambayo wakati inatungwa kulikuwa na true love kuanzia uchumba hadi kwenye ndoa.
 
Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
7,031
Likes
9,373
Points
280
Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
7,031 9,373 280
Labda alitaka kuku-suprise tu
Hahahahaa,,,,, umesoma mwishoni tu.....hebu anza mwanzo bhana.........hivi kweli mtu kukuambia yupo kwa mume wake usimsumbue,,,, plus baada ya kumpigia anakijibu short cut,,,,plus huko nyuma alikata kabisa mawasiliano na wewe......

Then uanze et kuwaza kwamba "" alikua anamaanisha au lah""" are u normal
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,468
Likes
4,109
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,468 4,109 280
Nasema hivyo kutokana namaelezo yako, ulimuuliza sababu ni nini mpaka akwambie hivyo???
Mtu hawezi kukurupuka tu huko aanze kukwambia ooh usitume msj wakati ulikuwa ukiwajibika Kama mwaaume.??

Au mwenzetu una kibai unatuficha.?? Kuwa wazi jf doctor ipo kwaajili yako...
Hahahahaa na hako ndo kapoint kenu wanawake mkisha ingiwaga na tamaa za mtu mwingine au mahusiano kwenda kombo,,,,,siku hizi wanaume tumeshakazoeaa........

Kuhusu mzigo wangu ni kwamba siwez thibitisha kwa maneno wala njia yoyote na nikaaminika.....but dah Mungu hajaninyima kwa kweli
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,468
Likes
4,109
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,468 4,109 280
Ungekuwa umemuoa sawa.lakini mpenzi tu anafanya chochote na muda wowowte
Ni kweli....ndo mana nimeamua tu kuumia na kupotezea....but kuleta mada hapa ni ili nipate mawazo mbali mbali ya wadau juu ya hili na kuelezea msimamo wangu wa sasa kwa wanawake na kupata relief ya moyo na akili..
 
Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
7,031
Likes
9,373
Points
280
Lovely mum

Lovely mum

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
7,031 9,373 280
Kunywa sumu,
Wew Lovely mum umenikamia sana.......hebu tuvuke hiv vizingiti vyote twende kwenye point,,,,, huyo mwanamke ndo keshanifanyia hivo....

Your advice to me pplllzz...........You may have some useful points.
 
karugila

karugila

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Messages
1,212
Likes
495
Points
180
karugila

karugila

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2014
1,212 495 180
Wanadamu wote tunafanana na ni wapuuzi sana hata sisi wanaume tunatabia kama hizohizo !
Ni kweli....ndo mana nimeamua tu kuumia na kupotezea....but kuleta mada hapa ni ili nipate mawazo mbali mbali ya wadau juu ya hili na kuelezea msimamo wangu wa sasa kwa wanawake na kupata relief ya moyo na akili..
 
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Messages
4,683
Likes
4,708
Points
280
aretasludovick

aretasludovick

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2015
4,683 4,708 280
Pole sana mbaba sema hata sisi tuna mapungufu yetu
 
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2015
Messages
4,468
Likes
4,109
Points
280
Mlatinoh king

Mlatinoh king

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2015
4,468 4,109 280
Inawezekana pia ilikuwa ni fursa kwako kama ungetuliza akili.
Huenda alikuwa anataka kuona reaction yako na userious wako ili afanye maamuzi juu yako
Sijamjibu kitu mpka dakika hii
 

Forum statistics

Threads 1,238,954
Members 476,289
Posts 29,337,891