Mapenzi ni ajira kwa wanawake wa sasa hivi

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Leo ndo nimeamini kweli siku hizi akuna mapenzi ya kweli tena. Wanawake wengi wana penda pesa saana

Nilikuwa na mwanamke wangu ambaye. Nilifikiri ana ni penda saana kumbe mwenzenu nilikuwa na pigwa na kitu kizo. Mwanamke kumbe alikuwa ana ni penda au ni seme alikuwa na mimi kwasababu nilikuwa na mpa pesa tu last week niliongeya naye kuhusu mambo ya kuoana mimi na yeye alifurahi saana.

Nikasema mke apa nimepata. Mambo yakaja kuaribika niliposema tu kuwa nataka kubana matumizi. Kauli hiyo sijui mtoto wakike alichukuliaje. Mpaka sasa hivi nina wiki moja sijui kuongea naye. Na alikuwa hawezi kulala bila kuonana na mimi au kuongea na mimi kwenye simu mtoto amebadirika gafla

Hataki tena kuongea na mimi. Mapenzi siku hizi ni ajira kwa hawa wenzetu wanaume wenzangu kuweni makini
 
Leo ndo nimeamini kweli siku hizi akuna mapenzi ya kweli tena
Wanawake wengi wana penda pesa saana

Nilikuwa na mwanamke wangu ambaye
Nilifikiri ana ni penda saana kumbe mwenzenu nilikuwa na pigwa na kitu kizo
Mwanamke kumbe alikuwa ana ni penda au ni seme alikuwa na mimi kwasababu nilikuwa na mpa pesa tu last week niliongeya naye kuhusu mambo ya kuoana mimi na yeye alifurahi saana
Nikasema mke apa nimepata
Mambo yakaja kuaribika niliposema tu kuwa nataka kubana matumizi
Kauli hiyo sijui mtoto wakike alichukuliaje
Mpaka sasa hivi nina wiki moja sijui kuongea naye
Na alikuwa hawezi kulala bila kuonana na mimi au kuongea na mimi kwenye simu mtoto amebadirika gafla

Hataki tena kuongea na mimi

Mapenzi siku hizi ni ajira kwa hawa wenzetu wanaume wenzangu kuweni makini
Siku wanawake watajua kutafuta pesa zao wenyewe kwa kutumia njia halali bila Shaka watagundua kwamba ngono Ni " Starehe" na Wala sio " kazi" Kama wengi wanavyoichukuliaga.
 
Leo ndo nimeamini kweli siku hizi akuna mapenzi ya kweli tena
Wanawake wengi wana penda pesa saana

Nilikuwa na mwanamke wangu ambaye
Nilifikiri ana ni penda saana kumbe mwenzenu nilikuwa na pigwa na kitu kizo
Mwanamke kumbe alikuwa ana ni penda au ni seme alikuwa na mimi kwasababu nilikuwa na mpa pesa tu last week niliongeya naye kuhusu mambo ya kuoana mimi na yeye alifurahi saana
Nikasema mke apa nimepata
Mambo yakaja kuaribika niliposema tu kuwa nataka kubana matumizi
Kauli hiyo sijui mtoto wakike alichukuliaje
Mpaka sasa hivi nina wiki moja sijui kuongea naye
Na alikuwa hawezi kulala bila kuonana na mimi au kuongea na mimi kwenye simu mtoto amebadirika gafla

Hataki tena kuongea na mimi

Mapenzi siku hizi ni ajira kwa hawa wenzetu wanaume wenzangu kuweni makini
Maisha yamekaba sana, lazima wadai hela
 
Wanawake wa kuoa wapo Chato huku, njoo uoe
 
Back
Top Bottom