Nilikua nasikia tu kwa watu leo nimeamini kwamba wanawake sio wa kuwaamini

Haihalalishi hatia kwa wenye kujitambua.
Wanaotamani kulinda heshima na hadhi za wenza(waume) zao kwa kutumia karama zao.

Afterwards, ni binadamu wenzetu ambao maisha ya mwanaume huwezi kuyatenganisha na wao.

Respect them and teach them to be as Good as you are.
Wakichagua wanaume kwenye kundi la wanaume nadhani utakuwa namba moja...

I like you
 
Haihalalishi hatia kwa wenye kujitambua.
Wanaotamani kulinda heshima na hadhi za wenza(waume) zao kwa kutumia karama zao.

Afterwards, ni binadamu wenzetu ambao maisha ya mwanaume huwezi kuyatenganisha na wao.

Respect them and teach them to be as Good as you are.
I tried.....hakuna kilichowezekana
 
Tatzo sio kuto..mbewa mkuu...tatzo ni unatombeeewaje tombeeewaje......yn mazingira yamekaaje
Pole sana Mkuu kuna jirani yangu yeye alitombe.wa mke wake kwa kitanda chake mwenyewe kwa bahati mbaya akajiingiza katika ulevi kuondoa stress ninavyo type hapa jamaa kafukuzwa kazi na nilikuwa na mdai, nimemuonea huruma hata deni nimeamua kufuta aisee...

so kuwa mwangalifu na fikra zako hasa unapokuwa mwenyewe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom