Nilikosa mtu wa kufanya nae umoja

Smith Rowe

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
3,295
5,396
Wasalamu...

Copied.

Kipindi cha nyuma wakati naenda Chuo nilikuwa na hela kidogo (5M) nikiwaza nikifika chuo lazima nipate demu wa kutoboa nae maisha.

Daah yalikuwa mawazo ya ovyo sometimes, yani nifike Chuo nifungue duka la nguo kwa huo mtaji wangu alafu niwe na demu ambaye nampenda niwe naishi nae kupitia duka la nguo yaani awe anawavuta dukani wateja huku wote tukipiga kitabu hapo hapo chuoni.
Nipate mtu (mpenzi wangu) hukohuko chuoni tuifanye hiyo biashara ila lengo sio kumtumia bali awe mpenzi wa maisha.

Hii niliamua kufanya hivyo baada ya kuudhurua harusi ya brother mmoja akawa anaelezea mapenzi yake na huo demu anayemuoa, jinsi walivyokutana na kuanza maisha yao chuoni kupitia kufanya biashara huku wanasoma.

Nilivyofika chuo sasa ndo mtiti ulipoanzia, nikapata mluguru mmoja anapenda mapenzi mbaya mawazo yote ya biashara ya nguo nilikuja kuyakumbuka baada ya kubakiwa na 50000 tuu bank. Ile hela niliila sana na yule mluguru aseee hadi nabakiwa na 50k ndo nashtuka huyu mluguru ataniua.

All in all yule mluguru ndo mama watoto wangu leo kanipa watoto wawili hadi sasa.

nb.
Copied and pasted.

Wakuu nimekuwa interested sana hadi nimeona niwaletee huu mkasa mnipe ushauri maana mimi nina kiasi kama cha jamaa ila mimi nina 4M hivi na nategemea kuingia chuoni mda sio mrefu.
nipeni ushauri asee nikaifanyie biashara chuoni au niiache tuu bank isije liwa na mluguru
 
Nikushauri kitu.

Kama hujajua au hujapata bado Biashara ya kufanya na hiyo pesa nenda kawekeze UTT Ni mifuko ya serikali ya uwekezaji. Kuliko kuweka bank au kuwa nayo mkononi huku ukiila kidogo kidogo, weka UTT iwe inazaa mdogo mdogo huku ukifikiria Cha kufanya. Na hata ukipata Biashara ya kufanya usitumie pesa yote.

Mimi baba yangu tangu nikiwa shule ya msingi nasoma amekua ananiwekea kiakiba kidogo kidogo UTT kwaajili ya kusoma badala ya kuweka bank tu haizai. Imenisaidia imempunguzia stress kipindi nasoma.

Sasa naikontro mwenyewe nawekeza mwenyewe mdogo mdogo.

Ni salama na uwekezaji wake wa uhakika na rahisi kuwekeza na kutoa pesa yako pindi unapoihitaji .
 
Naomba unipe darasa kuanzia mwanzo hadi mwisho wanaanzia kiasi gani kuweka
 
Okay.
Naomba unipe darasa kuanzia mwanzo hadi mwisho wanaanzia kiasi gani kuweka
Naomba unipe darasa kuanzia mwanzo hadi mwisho wanaanzia kiasi gani kuweka
Okay . Sasa nashindwa kuelekeza hapa maana wana mifuko ya uwekezaji tofauti tofauti.
Sasa basi kwa kukusaidia nakuandikia namba zao hapa kupiga Ni free
0754 800544 / 0754 800455
0715 800554/0715 800455
0782 800455

Kama uko Dar es salaam makao makuu yapo jengo la sukari house Posta mtaa wa sokoine na Ohio

Au peruzi kwenye website yao hii Kama Kuna maelezo yatakayokutosheleza www.uttamis.co.tz
 
Acha uchoyo mwanaume. Weww sema mzee aliweka shs ngapi na kwa mda gani ikaongezeka shs ngapi ili tujue
Yaani elezea wewe km wewe. Ili tuone.
 
Back
Top Bottom