Nilikopesha mwanamke, najuta sana...

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2023
Posts
23,390
Reaction score
75,810
Mwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.

Kiwango cha pesa sitokitaja πŸ˜‚, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.

Nifanyeje?
 
Kwa Saikolojia ya mwanamkr anapopokea kitu toka kwa mwanaume anaamini Amehongwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…