Nilijua ni story tu ila dah! Pisi kali punguzeni kulia shida

Streptokinase

Senior Member
Dec 13, 2018
179
500
Mabaharia wenzangu najua mpo salama kabisa na mnaendelea kulijenga hili taifa letu pendwa ili tupate maji na umeme wa uhakika bila kuitoa CCM madarakani.

E bhana niwe muwazi nishakutana na pisi zinazopiga vizinga sana tu ila hii niliokutana nayo jana ni balaa.

Ilikua hivi, baada ya kutoka kwenye mishe mishe usiku nikasema ngoja nikapooze koo kidogo huku nikiwa nacheki game ya mancity na PSG. Icho kiwanja nilichoenda palikua na pisi za kutosha sana nikaona sio mbaya niichukue moja inisaidie kutumia vihela vyangu kidogo.

Picha linaanza mtoto anakunywa heineken tu, hataki local beer. Nikasema dah kwavile nishayavulia ngoja nikomae. Binti anakunywa zile beer kama maji huku muhuni nikiwa nafaidi kulichezea chezea lile tako lake zuri.

Mida ya saa nane hivi nikaanza kuona simu za wife nyingi, ikabidi nichukue namba nirudi zangu home.

Tatizo limeanza leo anapiga simu nyingi sana mara hajala, mara umeme umeisha, kodi yake inakaribia kuisha kuna rafiki ake kamdhulumu simu yake kwaio hana simu anayotumia kaazima tu. Afu "mume wangu" nyingi sanaaa. Yaani haya yote yametokea leo baada ya kukutana nae jana.

Kiukweli mimi sionagi shida kutoa hela "kumsaidia" mtu anaenipa mbunye, ila hii ni too much, bora angeanza na kitu kimoja taratibu taratibu.

Pisi kali tunawapenda ila vizinga muwe mnapiga taratibu taratibu.

Uzi tayari.
 

srinavas

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
3,496
2,000
Mabaharia wenzangu najua mpo salama kabisa na mnaendelea kulijenga hili taifa letu pendwa ili tupate maji na umeme wa uhakika bila kuitoa CCM madarakani.
Mkuu hawa mademu ndivyo walivyo kwa sasa. Wanalia njaa sana mpaka kero, halafu unakuta hawana maajabu yoyote,

Sasa muhimu hapo Toa ahadi nyingi sana , then kamalize kazi baada ya hapo mpatie 20k , then chapa lapa, Block namba, hama kiwanja
 

souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
781
1,000
Mabaharia wenzangu najua mpo salama kabisa na mnaendelea kulijenga hili taifa letu pendwa ili tupate maji na umeme wa uhakika bila kuitoa CCM madarakani.
Aisee mi kuna moja la kichagga mpaka nikiwa napokea simu yeye mwenyewe anacheka kwanza yani utafikiri matatizo yanamfata yeye tu mara gesi imekata,mtoto ada mara baba anaumwa aisee nilijikuta naanza kuzeeka sababu ya majukumu ya ghafla
 

Mayotte

Senior Member
Nov 19, 2021
135
500
Halafu yanafanyaga makusudi tu haya Mamalaya hayana lolote.ukienda kiboya na kuonyesha umemuelewa saana hapo ndio unaharibu.
Hata kama umemuelewa vunga mchukulie kawaida tu,ukimpamba saaana ndio unampa chance ya kukupiga na kukuleta issue za heinkein sijui savanna mara st anna kama sio Robertson.
Haya mapaka yakiwa yenyewe yanabugia hadi ngumu kumeza,ila ukijitela tu imekuwa kwako.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom