Nilijua ni story tu ila dah! Pisi kali punguzeni kulia shida

Mr bee94

Member
Nov 16, 2021
15
45
Mabaharia wenzangu najua mpo salama kabisa na mnaendelea kulijenga hili taifa letu pendwa ili tupate maji na umeme wa uhakika bila kuitoa CCM madarakani.

E bhana niwe muwazi nishakutana na pisi zinazopiga vizinga sana tu ila hii niliokutana nayo jana ni balaa.

Ilikua hivi, baada ya kutoka kwenye mishe mishe usiku nikasema ngoja nikapooze koo kidogo huku nikiwa nacheki game ya mancity na psg. Icho kiwanja nilichoenda palikua na pisi za kutosha sana nikaona sio mbaya niichukue moja inisaidie kutumia vihela vyangu kidogo.

Picha linaanza mtoto anakunywa heineken tu, hataki local beer. Nikasema dah kwavile nishayavulia ngoja nikomae. Binti anakunywa zile beer kama maji huku muhuni nikiwa nafaidi kulichezea chezea lile tako lake zuri.

Mida ya saa nane hivi nikaanza kuona simu za wife nyingi, ikabidi nichukue namba nirudi zangu home.

Tatizo limeanza leo anapiga simu nyingi sana mara hajala, mara umeme umeisha, kodi yake inakaribia kuisha kuna rafiki ake kamdhulumu simu yake kwaio hana simu anayotumia kaazima tu. Afu "mume wangu" nyingi sanaaa. Yaani haya yote yametokea leo baada ya kukutana nae jana.

Kiukweli mimi sionagi shida kutoa hela "kumsaidia" mtu anaenipa mbunye, ila hii ni too much, bora angeanza na kitu kimoja taratibu taratibu.

Pisi kali tunawapenda ila vizinga muwe mnapiga taratibu taratibu.

Uzi tayari.
Chukua zigo hilo
 
Mr Slim

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
946
1,000
Mademu wanaomba sana,sio hao tu hata wanaofanya kazi nzuri maofisini wanaomba kinoma.

Thus why watu kwenye sex wanawa treat vibaya.
 
MERCIFUL

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
2,686
2,000
Alikua na maji makubwa. Nikampa offer ya kumnunulia beer
Mkuu hapo ndio ulipoharibu sasa!! Anaekunywa maji unaendelea kumnunulia maji mpaka aseme mwenyewe.
Yaani hapo ilikua ni mwendo wa waiter muongezee kinywaji; Huyo angejiongeza mwenyewe na kusema atachokunywa bila wewe kutoa offer ya kumnunulia beer - ukampa mwanya wa kuagizia "Henken" :p
 
TZ-1

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
910
1,000
Tatzo unatak jumla , inabid ufanye reja reja ain ya mazngr hayo ulie mchukulia.
 
Siri ya sifuri

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
1,551
2,000
Mabaharia wenzangu najua mpo salama kabisa na mnaendelea kulijenga hili taifa letu pendwa ili tupate maji na umeme wa uhakika bila kuitoa CCM madarakani.

E bhana niwe muwazi nishakutana na pisi zinazopiga vizinga sana tu ila hii niliokutana nayo jana ni balaa.

Ilikua hivi, baada ya kutoka kwenye mishe mishe usiku nikasema ngoja nikapooze koo kidogo huku nikiwa nacheki game ya mancity na psg. Icho kiwanja nilichoenda palikua na pisi za kutosha sana nikaona sio mbaya niichukue moja inisaidie kutumia vihela vyangu kidogo.

Picha linaanza mtoto anakunywa heineken tu, hataki local beer. Nikasema dah kwavile nishayavulia ngoja nikomae. Binti anakunywa zile beer kama maji huku muhuni nikiwa nafaidi kulichezea chezea lile tako lake zuri.

Mida ya saa nane hivi nikaanza kuona simu za wife nyingi, ikabidi nichukue namba nirudi zangu home.

Tatizo limeanza leo anapiga simu nyingi sana mara hajala, mara umeme umeisha, kodi yake inakaribia kuisha kuna rafiki ake kamdhulumu simu yake kwaio hana simu anayotumia kaazima tu. Afu "mume wangu" nyingi sanaaa. Yaani haya yote yametokea leo baada ya kukutana nae jana.

Kiukweli mimi sionagi shida kutoa hela "kumsaidia" mtu anaenipa mbunye, ila hii ni too much, bora angeanza na kitu kimoja taratibu taratibu.

Pisi kali tunawapenda ila vizinga muwe mnapiga taratibu taratibu.

Uzi tayari.
Mario wake "Sugar mummy" kwa pisi kali umepotea mkuu!!
 
tibe_j

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
592
1,000
Sio kila mwanamke anaweza kukufaa, kama unamwona wa gharama achana nae, sio size yako.

Mwachie nafasi kutane na wanaotoa matumizi bila hata kuombwa..... wapo

Na hao ndio wanaomfaa na yeye ndio anayewafaa
Chama kimoja
 
pangwinga

Member
May 2, 2021
41
95
Aisee mi kuna moja la kichagga mpaka nikiwa napokea simu yeye mwenyewe anacheka kwanza yani utafikiri matatizo yanamfata yeye tu mara gesi imekata,mtoto ada mara baba anaumwa aisee nilijikuta naanza kuzeeka sababu ya majukumu ya ghafla
du mbombo ngafu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom