Nilijua ni story tu ila dah! Pisi kali punguzeni kulia shida

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
15,298
2,000
Mabaharia wenzangu najua mpo salama kabisa na mnaendelea kulijenga hili taifa letu pendwa ili tupate maji na umeme wa uhakika bila kuitoa CCM madarakani.

E bhana niwe muwazi nishakutana na pisi zinazopiga vizinga sana tu ila hii niliokutana nayo jana ni balaa.

Ilikua hivi, baada ya kutoka kwenye mishe mishe usiku nikasema ngoja nikapooze koo kidogo huku nikiwa nacheki game ya mancity na PSG. Icho kiwanja nilichoenda palikua na pisi za kutosha sana nikaona sio mbaya niichukue moja inisaidie kutumia vihela vyangu kidogo.

Picha linaanza mtoto anakunywa heineken tu, hataki local beer. Nikasema dah kwavile nishayavulia ngoja nikomae. Binti anakunywa zile beer kama maji huku muhuni nikiwa nafaidi kulichezea chezea lile tako lake zuri.

Mida ya saa nane hivi nikaanza kuona simu za wife nyingi, ikabidi nichukue namba nirudi zangu home.

Tatizo limeanza leo anapiga simu nyingi sana mara hajala, mara umeme umeisha, kodi yake inakaribia kuisha kuna rafiki ake kamdhulumu simu yake kwaio hana simu anayotumia kaazima tu. Afu "mume wangu" nyingi sanaaa. Yaani haya yote yametokea leo baada ya kukutana nae jana.

Kiukweli mimi sionagi shida kutoa hela "kumsaidia" mtu anaenipa mbunye, ila hii ni too much, bora angeanza na kitu kimoja taratibu taratibu.

Pisi kali tunawapenda ila vizinga muwe mnapiga taratibu taratibu.

Uzi tayari.
Umeharibu ulipoitaja ccm
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom