Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

Maisha yana changamoto kila mahali, kikubwa Mungu atututie nguvu ya kukabiliana na hizo changamoto muda mwingine mtu anaweza kudhani mambo yanavyoaribika unajitakia lakini kumbe mtu umepambana kwa hali yako yote lakini umekwama.. tuombe Mungu atupe nguvu kwa magumu tunayopitia...
Pole sana dada!
 
Hii stori imelalaia upande mmoja hii.

Kila Mara unalalamika vipigo, vipigo, mnyanyaso ila chanzo husemi.

Sitaki kuamini mume wako uyo anamashetani TU, anaamka anakupiga bila Sababu.

Mtoa mada Kuna kitu unatuficha
Unaeza kuwa sahihi kwa sababu upande wa pili hatujasikia lakini tumpe nafasi kwamba alichotueleza ndicho.. japo kuna viashiria vya upande mmoja kwamba kulikuwa na tatizo mfano hiyo domo pistol besides wanaume hatupendi au tunachukia talkative women balaa..
 
Mtoa mada unatatizo la kimaadili,
Ata Kama ugombane vipi na mme wako, unapata wapi ujasili kwa kumwambia AONDOKE?

"...Nisingejua kuhusu huyo mwanamke nafikiri bado ningekuwa naye. Nikamwambia aondoke. Hiyo ni miezi minne tu baada ya harusi....."

Inamaana unataka kutuaminisha Yule alikua mfugo wako au kibenten wako?

Kwa uzoefu wangu,
Wanawake mkishapata vifedha, na nyinyi mnajiona mmeshakua wababa wa familia.

TWENDE MBELE TURUDI NYUMA, unatatizo la kimaadili.

Hata Kama jamaa ajakuja hapa tukamskia upande wake,
Ila kwa haraka HARAKA nikikusoma herufi kwa herufi uandishi wako, unatabia ya kumdominate mwanaume kwasababu TU umemlisha.

Iyo Ni tabia mbaya
Na HAKUNA MWANAUME alokamilika ATAVUMILIA UPUUZI HUU.
 
Unaeza kuwa sahihi kwa sababu upande wa pili hatujasikia lakini tumpe nafasi kwamba alichotueleza ndicho.. japo kuna viashiria vya upande mmoja kwamba kulikuwa na tatizo mfano hiyo domo pistol besides wanaume hatupendi au tunachukia talkative women balaa..
Kuna tatizo mahali,

Mwanzo mwisho wa Hii stori mwanamke anaongelea kugharamia matumizi yote panapohitajika pesa.

Mwishoni kabisa Anashauri wanawake waolewe na wanaume wachapakazi.

Ukirejea mwanzoni, anatumbia mwanaume wake aliachishwa kazi (he was jobless).

Ila kuna mahali kasema yeye alikua na kazi ilokua inampa kipato cha kutosha mpk Cha kugharamia nyumbani, Pete, HARUSI na ndoa n.k

Ila sijaona kokote alikoonyesha juhudi za kumkwamua mwanaume wake kiuchumi ili wasonge wote mbele.

angalau kusema kamtaftia mtaji afungue genge, au kumuunganisha na kazi fulani jamaa akagoma kwenda kuifanya.

Mtoa mada Ni Aina ya wanawake wanaotaka mwanaume FINISHED PRODUCT.

Ni mwepesi Sana wa kulaumu mwenzie kutokua na kazi au kujishughulisha.
Wakati hajampa nyenzo wala Njia yoyote ya atokee wapi.

Mtoa mada
Ni sawa na kina ndugai wanaposema vijana wajiajili, serikalini hamna ajira. Wakati hawajawatengenezea nyenzo yoyote wahitimu Hawa kujiajili.
 
Mada akileta Mwanamke Jf ni lawama😬Sema nae nadhani alijua pesa inaweza kumtuliza Mwanaume
 
Mtoa mada sio kwamba nakusema sana.

La hasha,
penye ukweli lazima tuseme. Wewe pia Una matatizo.

Hapa unatwambia mumeo hakua na ajira, afu wewe una ajira.
"....Mimi huku nako niliendelea kuchakarika, kuanzisha biashara n.k."

Hivi Umeolewa uko na mume wako, afu umeajiriwa
Unaendelea kuchakarika na kuanzisha biashara mpya za peke yako (bila shaka uliweka watu Baki wasimamie) .

afu baba mtoto wako anashinda TU nyumbani na rimoti Kama lisanamu. Is this fair?

Afu baadae
Unakuja mlalamikia na kumsimanga apa mwenzako eti

"Nilichogundua, mwanaume akiwa hana kitu chake/pesa yake anakuwa hajiamini kabisa...."

Hii HAIKUBALIKI na siwezi kukuelewa kabisa.
Hukumtendea haki Wala kuthamini nafasi yake kwako.
 
Naona unatafuta huruma ya jamii aya tumekuulumia

Any way ilkua ni lazma iwe hivyo maana siku zote mwanamke akmzdi mume kipato hua hivyo uzinzi umekili wote ni wazinzi nafikiri ulianza kumdharau kwa hali yake naye akaona kipigo ni solution. Sasa usichafue wanaume uku we move on
 
Ulikosea kurudiana na ex wako huku ukijua tabia zake mbovu na ukiamini kuwa ata change Matokeo yake ikawa ni machungu zaidi, dah nikupe pole umeshajifunza Sasa be careful with life, jipende kwanza wewe ji spoil na life liendee na usijiloge kurudi misri utajutra mara elfu kumi. Pia ulikosea kuwa mlezi wa Huyo mwanaume, anaji feel inferior lazima akutese mpaka basi, na Huyo hakuwa soul mate wako
 
Kuna watu huwa wanadhani ndoa inaweza kum badilisha mtu jamaniii Mwanaume akiwa mlevi usitegemee atabadilika baada ya kufunga ndoa haiwezekani
Vitu vingine Ni stress za maisha,
Nnachokiona jamaa alikua na stress za maisha (kukosa ajira n.k).

Ukichanganya na masimango ya mtoa mada (mdomo pistol)

Linaweza kuchangia pia kwa mwanaume kuingia kwenye ulevi ili kupunguza stress.

Kuna Wanaume wanapitia magumu Sana Kwenye Ndoa, sio kila mlevi ndo tabia yake
IMG_20210916_163344.jpg
 
Hao wote walioana wakiwa watoto hawakuwa tayari kwa ndoa hata mada yake imeenea Usaliti na majibizano
Kabisa,
Mtoa mada anashindwa kutatua tatizo la msingi la mume wake (ukosefu wa kazi)

Anadili na minor issues (usaliti).

Na ukimsoma Vema mtoa mada,
Kuna mahali kasema alikua anamcheat mume wake, kisa na yeye alimkua akimcheat.

Kiuhalisia Hakuna utetezi wowote wa msingi unaoweza kusikilizwa kwa mwanamke ANAECHEPUKA eti kisa na mwanaume anachepuka.

Tusiishie kusema TU,
Mtoa mada Nguvu yake kiuchumi ilikua inampeleka vibaya, mpaka akaanza kufanya UMALAYA kwa kisingizio Cha revenge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom