Nimeharibu mipango ya rafiki yangu kufanya harusi mwaka 2023

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,718
ilikuwa hivi huyu jamaa alitoka kijijini akaja mjini akawa ana fanya kazi za mashmbani kwa watu baada ya miezi kama 4 walipo vuna akawa anarudi nyumbani lakini kabla ya kurudi kijijini alikuja kunisalimia mm ninapoishi,

baada ya kufika akaniambia ndo anaenda kufanya harusi nikamuuliza baada ya harusi ataishije na huyo wife wake huko kijijini maana kule ni kilimo tu ndo saana tena kwa msimu mmoja kwa mwaka,

basi yeye akasema ataangalia biashara yoyote nikamuuliza una shilingi ngapi hapo? akaniambia ana laki 6 na ndo inaenda kuongezewa ili afunge ndoa na kufanya harusi,

Basi mimi nikamshauri kitu cha kufanya,

tukaingia dukani na kununua computer full kwa ajili ya kwenda kufungua biashara ya kuuza movie na nyimbo,

alipofika kijijini akakuta wazazi ndo wanasubiria ile hela alokuwa nayo kwa ajili waongezee wafanye harusi ya kikristo tena,

walipomuuliza kijana wao ana ngapi?
kijana akasema hana kabisa,

basi na harusi ikaishia hapo maana wazazi wa mtoto wa kike wanataka harusi,

hivo harusi itafanyika 2024

ananishukuru sana kila wakati ananiambia kuwa vijana wengi kijijini ambao wanategemea tu kilimo wanakosa mpaka vocha ya simu lakini yeye kila siku ana uhakika wa kuingiza 3000 hadi 10000 kwa siku.

Sent from my TECNO CA8 using JamiiForums mobile app
 
Kitendo Cha kulima msimu mmoja kwa mwaka na hauna biashara ya kukuingizia kipato nje na kilimo ni chanzo kikubwa Cha hali duni za uchumi vijijini,hongera kwa wazo zuri ulilomsaidia.
 
hakuna ulichomuharibia zaidi umempa ujuzi wa kutengeneza pesa tena ili bidi akulipe kabisa. mtu anayekufundisha kutengeneza pesa ni mtu wa kumeheshimu sana
 
  • Thanks
Reactions: LA7

Similar Discussions

Back
Top Bottom