Nilifundishwa na mwalimu shoga

Nilifundishwa na mwalimu shoga

Ni kweli mkuu nikiangalia katika maisha ya jamaa. Zile siku alizokaa kwa marafikii wa baba kuna mengi yalimpata.
Yule mzee sabuufa simuamini ukichukulia kwamba alikua anautaka ukiranja mkuu na maelekezo ya waganga wetu sote twayajua. Lazima alipumzika pale.
 
Kwako we ni saa10:30.we unajua yy yuko wp na singap?hakuna mipaka ya kupost
 
Kila mtu na story ya mashoga....wiki iliyopita zilitrend za member kaupepo kamehama!
 
Naona leo humu ndani kumejaa habari za mashoga.....

Pengine hata humu wamo, ila ningependa kuwasihi waache huo mchezo maana gharika la siku ya mwisho halitowaacha salama....
 
Naona leo humu ndani kumejaa habari za mashoga.....

Pengine hata humu wamo, ila ningependa kuwasihi waache huo mchezo maana gharika la siku ya mwisho halitowaacha salama....
Mwisho wa siku kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe. Lakini kuwa India wangese duniani si rahisi. Wamepigana sana Ulaya mpaka wameweza kukubalika katika jamii.

Wakisikia wenzao wanawekwa ndani kwakua ni wangese wanaumia sana. Inawakumbusha maivu waliyoyspitia wao.
 
Ngoja tuone wiki hii nini kita-trend. Naona waanzisha sredi wameshikilia hapo hapo kwa Amber!!!
 
Hahaha mi nilidhani ulifundishwa Ushoga na Mwalimu. Tungo tata, au nilikurupuka kusoma heading?!
 
Nilipita shule moja mwalimu wangu wa physics alikuwa shoga yaani hii dunia ngumu sana alinibananisha usiku kwenye maabara akitaka nimfokoe na bahati mbaya sana alikuwa anajuana na mzazi wangu hivyo alikuwa kama mlezi wangu wa shule na sikuwa na wasiwasi naye mpaka huo usiku alioniita maabara akitaka nimle na shule nikahama
 
Pole sana
 
Ni wakati ninajiandaa na GSEE nilihitaji Masaada wa hesabu. Alipatikana mwalimu anaitwa Lesley. Alikuwa handsome na wakati ule ndiyo puberty age nilikuwa ninahakikisha nimechana nywele vizuri na sikusahau deodorant.

Nikikuja kugundua Lesley ni gay niliumia lakini alikuwa mwalimu mzuri sana. Alinisaidia sana kufaulu mtihani.

Baba yake Lesley alikuwa diplomat wa nchi mojawapo duniani. Aliniambia maisha yao yalikuwa ni ya kizunguka dunia. Hii ili leta changamoto katika elimu yake. Mara nyingi aliachwa na marafiki wa familia ili amalizie mitihani kabla ya kuwafuata wazazi wake.

Alisema malezi yake mbali na wazazi wake ilichangia sana kumfanya yeye kuwa alivyo.
Binafs nimekuelewa sana
Sio kila shoga anapenda kuwa hivyo
Kuna wengine wako hivyo kutokana na mazingira ya makuzi yao!
Kuwachukia sio solution ya mwisho
 
Binafs nimekuelewa sana
Sio kila shoga anapenda kuwa hivyo
Kuna wengine wako hivyo kutokana na mazingira ya makuzi yao!
Kuwachukia sio solution ya mwisho
Kama Lesley mtoto wa mwana diplomasia huwezi kudhani alipitia abuse kwenye maisha. Baba yake aliamini marafiki zake kumbe wamemharibia mtoto.
 
Ni wakati ninajiandaa na GSEE nilihitaji Masaada wa hesabu. Alipatikana mwalimu anaitwa Lesley. Alikuwa handsome na wakati ule ndiyo puberty age nilikuwa ninahakikisha nimechana nywele vizuri na sikusahau deodorant.

Nikikuja kugundua Lesley ni gay niliumia lakini alikuwa mwalimu mzuri sana. Alinisaidia sana kufaulu mtihani.

Baba yake Lesley alikuwa diplomat wa nchi mojawapo duniani. Aliniambia maisha yao yalikuwa ni ya kizunguka dunia. Hii ili leta changamoto katika elimu yake. Mara nyingi aliachwa na marafiki wa familia ili amalizie mitihani kabla ya kuwafuata wazazi wake.

Alisema malezi yake mbali na wazazi wake ilichangia sana kumfanya yeye kuwa alivyo.

Dada yangu Mpendwa JamiiForums nzima hapa unataka ' Kuhalalisha ' nini labda?
 
Kwani hii forum kuna muda wa kuandika hata kwa ninayeuza matikiti nimeamka saa 8 kuja kupokea mzigo hivo nisubiri kuche ndio niingie jf?
Yap uwe unasubiri kunakucha vinginevyo utajikuta umepewa kesi za kuvunja na kuiba kama sio unyanganyi
 
Dada yangu Mpendwa JamiiForums nzima hapa unataka ' Kuhalalisha ' nini labda?
Mashoga wapo na kama hamuwataki wauweni tu lakini kupigana na ushoga ni vigumu. Walioamua kuishi maisha hayo waacheni lakini watoto wenu muwafundishe
 
Mimi ninaiona hii post SAA 10.33 alfajiri
Suala la muda wa posti sio ishu usikariri maisha kuna watu wanafanya kazi night shift usiku wanakuwa macho na shughuli si nyingi kama shift za mchana so wanakuwa wanarilax na jf.
Suala la msingi no walimu mashoga, wanaoingiliwa kinyume cha maumbile.
Mimi na mjua mmoja huyu jamaa anaitwa Andrew Kato alimaliza bachelor of education udsm mwaka 2005 degree ya miaka 4.
Alipomaliza alijiriwa serikalini akapangiwa kazi shule za manispaa ya Moshi mjini nadhani ilikuwa 2006.
Miaka ya 2013 huyu jamaa alifukuzwa kazi kwenye hiyo shule baada ya kugundulika alikuwa na mahusiano yasiyofaa na wanafunzi wa kiume wa shule hiyo. Hili suala lilitangazwaga Hadi kwenye vyombo vya habari.
Huyu jamaa baadae akapataga kazi shule flani kimara inaitwa paridime hapo hakukaa sana akafukuzwa Kwa kosa la kujulikana alikuwa yeye mwalimu anaingiliwa kinyume na wanafunzi.
Baadaye huyu jamaaa akahamia shule inaitwa ebonight ya huko huko kimara , huko Napo alifukuzwa Kwa kosa hilo Hilo.
Kimsingi walimu wa namna hii wapo, kinachotakiwa ni sisi wazazi kuwa makini na shule tunazopeleka watoto wetu pamoja na kumuomba mwenyezi Mungu atuepushie mbali hili janga kwenye familia zetu. Manake mi aibu sana.
Huyo jamaa namjua Kwa kuwa tulimaliza wote udsm
 
Back
Top Bottom