Nilifikiri anatania ....anakuja kweli!

Nilifikiri anatania ....anakuja kweli!

Acha kutamani uzinifu wewe.
Kama ni mahali pakushukia si atashukia Guest House? Kwani zimeweka kwa nini?
be youthiful.png
 
Pole sana kaka kwa hayo yaliyokukuta. Siku hizi wanawake wana bidii sana kutafuta wanaume angalau wapate chochote. Nakushauri kama ifuatavyo;
Andaa guest house then akifika na ukishampokea mpeleke akalale then mambo mengine mwambie kesho. Itakapofika kesho we huonekani na simu yako tayari unakuwa umeizima kabisa ila kumbuka kulipia gharama ya chumba kwa siku mbili na msosi wa siku moja tu, mengineyo atajiongeza mwenyewe.
Vinginevyo, ukijiona una huruma sana kwa huyo mwanamke basi ndoa yako itakuwa mashakani ingawa inategemea pia ulionyesha nini kwake wakati mnaonana kwa mara ya kwanza na wakati ambao mmekuwa mkiwasiliana.
Huo utakuwa ni ukatili wa hali ya juu. Kwani akimpokea na kumpeleka guest na kesho akampeleka huko kariakoo na kumwonyesha anakoweza kupata hizo bidhaa na akamwachia hela kidogo ya matumizi na kumuaga kwamba hawezi kumkaribisha nyumbani kwa kuwa mke wake anaweza kuhisia vitu visivyo sahihi, kuna shida gani? Sasa mtu aliyemkirimu namna hiyo alipokwenda kwao, iweje leo yeye amzimie simu? Watengeneze urafiki wa kawaida ambao hauna maswali. Ajitahidi tu asimkule, ili kuweka heshima iliyopo kama kwa hakika hana mpango naye.
 
nilpigwa na butwaa na sikusemakitu ndio nilikuwa naingia kwenye gari!
Anajua coz nilimwambia nina mke .
Hapana tulikula ndizi na maharage basi

Basi ni rahisi kaka, mpokee tu mtafutie guest ya bei nafuu mpeleke hapo. Muulize kama ana nguvu ya kulipa kama hana msaidie akifika ndani muage unaenda home.

Kesho kama una nafasi msindikize madukani ila usiongee chochote cha mapenzi.

Ila kama una mpango nae, basi fanya kile moyo wako unapenda ila kumbuka una mke na si vizuri kufanya mapenzi nje ya ndoa
 
Mmmh kazi unayo! Ila inaonesha hukumwambia km umeoa ilitakiwa umwambie b4 so hlo ni tatizo inatakiwa umwambie mkeo kwnza then muende wote kumpokea! Mchukulie km dada ako wa shamba. Ila km umesha GEGEDA Kaz kwako na umalaya wako! Akili mukichwa bhanasema bhatu ya CONGO.
 
Owe msengelee duu,umdumilye ne nomba ya kogona, mdao umtwale komadokaa wagole ya kogola, omshokye kenepikilee, lontondo lwakatato mapema kidaudau umtwale kustendi washoke kumwakwe

alafu si muuzane mayu .! Aza nimapisile ingi makabila .....mkombe wa uko kinaaliupunile ulwele wa kisasa
 
Huyu kinachompa hofu ni kuwa ,kwanza kamshtukiza hakuwa kajipanga kwa ugeni,pili mgeni ni mwanamke na amekuja viwanja vya nyumbani kwake,tatu anataka ushauri ili tumwambie am-do au asim-do,isha nikutaga hiyo ilinibidi nimpotezee niko bize ofisi na ofisi mke wangu anajulikana kwahiyo asje ,akanipondea sana lakini better safe than never.
 
owe msengelee duu,umdumilye ne nomba ya kogona, mdao umtwale komadokaa wagole ya kogola, omshokye kenepikilee, lontondo lwakatato mapema kidaudau umtwale kustendi washoke kumwakwe
songela ! Wilile yani
 
Salaam!
Miezi kadhaa iliyopita nilkuwa safari katika Wilaya moja mpya !Bahati mbaya sana kijijij tulipofikia [ambayo ni makao makuu ya wilaya hiyo]Kupata chakula nyakati za jioni ni shida! na hapo ndipo mchezo ulipoanzia!
Baada ya kupata nyumba ya kulala tuliamua kwenda kutafita chakula! Njiani tulikutana na dada mmoja wa makamo,tulimwomba atuelekeze sehaemu tunapoweza kupata mlo...alionesha kushtuka kama kweli kwa mida hiyo tungepata chakula! Hata hivyo alituonesha !
Kama alivotarajia dada yule hatukupata chakula!...tuliamua kununua maji na kwenda kulala!Njiani tulikutana tena na yule dada akitikea dukani kwake ....tukamwelezakuwa hatukufanikiwa!Alitafakari kidogo na kutuambia 'twendeni nikaandalie chakula nyumbani kwangu' kwa namana ya wasifu wake wa nje ulivvyo na mazingira ya kijijini ilitosha kutuaminisha kuwa yule dada ni muungwana ,hivyo kukataa ilikuwa ni ngumu!
Tuliandaliwa chakula kitamu cha usiku.
Katiak maongezi yetu nilifahamu kuwa licha ya kuwa ni nesi pia ni mfanyabiashara wa nguo! na huzifuata Kampala Ugand ....nilimhoji kama anafahamu DAR akasema hajawahi,......nikampa changamoto kuwa ni vema akahamu mji mkuu wa nchi yake na angalie kama anaweza kunufaika na bidhaa rundo kutika Dubai na China Kariakoo ,aliahidi kuwa kuna siku angekuja!
Nilipeenda mara ya pili nilimtembelea ofisini kwake ....wakati ananiaga alinifanyia kitu cha ajabu.......alisimama akanibusu na kuniambia pamoja kuwa [mimi] nipo kilomita zaidi ya elfu moja [kutoka kwao] ila siku moja atanifuata kwani ametokea kunipenda ajabu!
Leo asubuhi nimepokea simu kuwayupo njiani anakuja DAR !
Nimpokee saa 4!a
Nimeshindwa cha kufanya hata kuuliza anafikia wapi [tayari aliniambia hana ndugu wala rafiki Dar (isipokuwa mimi labda)
SIJAJUA NITAMHANDLE VIPI NA SIWEZI MWAMBIA MKE WANGU GHAFLA NAMNA HII
NIFANYEJE

hapa story yako haijakamilika ,kuna vitu vinakosekana ............. halafu hapo kwenye blue ,mji mkuu wa Tz ni DODOMA mkuu!!!!!!!!!!!
 
JAMANI NAAGA NIMEFURAHISHWA NA MAONI YENU YAMENIPA MCHANGO MZURI .....NAENDA KUMPTIA WAIFU TUKAMPOKEE WIFI YAKE !
NAAWAAGA WOTE KWA KUWAAMBIA songele zigizigi!
:violin:

:violin:
 
No ndowe wakoshetu nee

Angawamleke ikitulaii, mnanso ukigona mpee

Ine sika wa kunshinu mbwane.
Lingaamuleke munanso nwaso ikitula iza duu!
Uwe umugoshya au umunanso? Mbona muuzaiti?
 
"mpokee but mtafutie nyumba ya wageni alale,ukijaribu kumhusisha mke wako ndoa itakuwa matatani kwani ukimwambia hata kuamini,may be mke wako umemsoma!!"
 
unakumbuka shuka kumekucha,hukumjulisha toka mwanzo kwamba umeoa sahizi ndo unahaha mtafutie mahali pa kulala na muelee hali halisi.

amlete kwangu leo baridi kali isitoshe naishi peke yangu
 
Mm siafiki kabisa suala la kumpotezea nakushauri mkaribishe tna mtambulishe kw mkeo kama wewe kweli sio mdhinifu na hauna mpango nae!ikishindikana mwambie tu ukweli lakini huku ukihakikisha anapata basics zote pindi awapo hapa kwa kwa mujibu wa stori ni muungwana so wema unalipwa kwa wema na ukipata muda uwe unatoroka unaonana nae unamkosha roho(kumbuka kuvaa komdom) then unarudi home silently!!!!!!!ni hayo tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ila wabongo bwana,
mbona yeye hakuhaha wala kuwaza kukupa chakula,???
sasa umekula umeshashiba!!!!!
zamu yako na wewe kuonesha uungwana wako!!!!

dont be mbulula!!!!

costika bwana!!
 
owe wa mpe? mbona utyambula kyakoshetuu, nomusungu mbwanee, sikakaumbonane?
Ine sika wa kunshinu mbwane.
Lingaamuleke munanso nwaso ikitula iza duu!
Uwe umugoshya au umunanso? Mbona muuzaiti?
 
Back
Top Bottom