Salaam!
Miezi kadhaa iliyopita nilkuwa safari katika Wilaya moja mpya !Bahati mbaya sana kijijij tulipofikia [ambayo ni makao makuu ya wilaya hiyo]Kupata chakula nyakati za jioni ni shida! na hapo ndipo mchezo ulipoanzia!
Baada ya kupata nyumba ya kulala tuliamua kwenda kutafita chakula! Njiani tulikutana na dada mmoja wa makamo,tulimwomba atuelekeze sehaemu tunapoweza kupata mlo...alionesha kushtuka kama kweli kwa mida hiyo tungepata chakula! Hata hivyo alituonesha !
Kama alivotarajia dada yule hatukupata chakula!...tuliamua kununua maji na kwenda kulala!Njiani tulikutana tena na yule dada akitikea dukani kwake ....tukamwelezakuwa hatukufanikiwa!Alitafakari kidogo na kutuambia 'twendeni nikaandalie chakula nyumbani kwangu' kwa namana ya wasifu wake wa nje ulivvyo na mazingira ya kijijini ilitosha kutuaminisha kuwa yule dada ni muungwana ,hivyo kukataa ilikuwa ni ngumu!
Tuliandaliwa chakula kitamu cha usiku.
Katiak maongezi yetu nilifahamu kuwa licha ya kuwa ni nesi pia ni mfanyabiashara wa nguo! na huzifuata Kampala Ugand ....nilimhoji kama anafahamu DAR akasema hajawahi,......nikampa changamoto kuwa ni vema akahamu mji mkuu wa nchi yake na angalie kama anaweza kunufaika na bidhaa rundo kutika Dubai na China Kariakoo ,aliahidi kuwa kuna siku angekuja!
Nilipeenda mara ya pili nilimtembelea ofisini kwake ....wakati ananiaga alinifanyia kitu cha ajabu.......alisimama akanibusu na kuniambia pamoja kuwa [mimi] nipo kilomita zaidi ya elfu moja [kutoka kwao] ila siku moja atanifuata kwani ametokea kunipenda ajabu!
Leo asubuhi nimepokea simu kuwayupo njiani anakuja DAR !
Nimpokee saa 4!a
Nimeshindwa cha kufanya hata kuuliza anafikia wapi [tayari aliniambia hana ndugu wala rafiki Dar (isipokuwa mimi labda)
SIJAJUA NITAMHANDLE VIPI NA SIWEZI MWAMBIA MKE WANGU GHAFLA NAMNA HII
NIFANYEJE