Nilifika Dar Es Salaam salama.

Freddy.Freddy

Senior Member
May 29, 2015
105
44
I arrived in Dar Es Salaam safely. I traveled via Pricess Munna from Mwanza to Dar, and the journey was extremely tiring and not as exciting as i thought it would be.We left Mwanza at 6:05 in the morning and arrived in Dar Es Salaam at 00:10 A:M a journey that took about 18 hours!! I never enjoyed the journey at all, but thank God i arrived safely. I arrived and currently am staying around Sinza Area.

I have been to several places at night and Dar Es Salaam is quite lively at night. I have been to Edge Cafe in the rich Masaki area, Samaki Samaki both in Masaki and Mlimani City, Maisha Club and Corner Bar ingawa malaya wengi mno. The places were fantastic and i had mad fun, shida moja tu ninayo na club za TZ ni kuwa they charge an entrance fee, same in mwanza. I think charging 10,000/= for entrance ni ushamba sana, clubs should be entered without any entrance fee!! Nimepatana na marafiki wahindi na wazungu na tumeweza kubond nao tu vizuri sana. Sehemu gani zingine poa za kujivinjari Dar?

Tomorrow is Saba Saba and its a national holiday. I intend to visit the beaches in Dar, though i dont know where the beaches are but i know i wont get lost, i will ask around.

TAFSIRI KWA KISWAHILI

Nilisafiri kutoka Mwanza kwenda Dar na basi ya Princess Munna, safari ikanichukua masaa 18!! nilichoka kweli. So far Dar ni kuzuri, nimeweza kutembelea sehemu mbalimbali za kujivinjari kule Masaki na nimeenjoy kweli. Kesho ni holiday ntaenda beach za Dar niendeleze misheni yangu ya kujivinjari. Thank you.
 
Karibu dar, nichek kesho jion uje upate bia kadhaa zikuondolee stress za majibu utakayopata hapa hao wenye mji wakifika kwa wingi kwenye thread yako
 
Fred ungeuliza kwanini wanaweka viingilio. Moja ya sababu ambayo naiunga mkono ni kupunguza vibaka na wazamiaji. Naijua sehemu moja (Moshi) walipoondoa viingilio uungwana uliisha; kuanzia kuibiwa hadi usafi vyooni.

Mwisho sijapenda ulivyowasilisha mada yako. Umejieleza kama mtu mwenye majigambo ya kizamani (na ushamba) fulani hivi.
 
Ahsante kwa elimu yako Baba Mkali. Am sorry but mimi sio mtu wa majigambo kusema tu ukweli, i think am just a humble guy. Ahsante lakini kwa jibu lako.
 
I arrived in Dar Es Salaam safely. I traveled via Pricess Munna from Mwanza to Dar, and the journey was extremely tiring and not as exciting as i thought it would be.We left Mwanza at 6:05 in the morning and arrived in Dar Es Salaam at 00:10 A:M a journey that took about 18 hours!! I never enjoyed the journey at all, but thank God i arrived safely. I arrived and currently am staying around Sinza Area.

I have been to several places at night and Dar Es Salaam is quite lively at night. I have been to Edge Cafe in the rich Masaki area, Samaki Samaki both in Masaki and Mlimani City, Maisha Club and Corner Bar ingawa malaya wengi mno. The places were fantastic and i had mad fun, shida moja tu ninayo na club za TZ ni kuwa they charge an entrance fee, same in mwanza. I think charging 10,000/= for entrance ni ushamba sana, clubs should be entered without any entrance fee!! Nimepatana na marafiki wahindi na wazungu na tumeweza kubond nao tu vizuri sana. Sehemu gani zingine poa za kujivinjari Dar?

Tomorrow is Saba Saba and its a national holiday. I intend to visit the beaches in Dar, though i dont know where the beaches are but i know i wont get lost, i will ask around.

TAFSIRI KWA KISWAHILI

Nilisafiri kutoka Mwanza kwenda Dar na basi ya Princess Munna, safari ikanichukua masaa 18!! nilichoka kweli. So far Dar ni kuzuri, nimeweza kutembelea sehemu mbalimbali za kujivinjari kule Masaki na nimeenjoy kweli. Kesho ni holiday ntaenda beach za Dar niendeleze misheni yangu ya kujivinjari. Thank you.

Bila shaka utakuwa na undugu na Prof. Tibaijuka...yaani hadi mbwa wamesoma....
 
Hahahah msukuma anapokuja dar hshahahh hatari dar si kama unavyofikiri the place is just like a little hell be careful ngosha
 
Eti nimepatana na wahindi na wazungu,kumbe kuwa na marafiki wahindi na wazungu ni big deal,hongera
 
karibu DSM mwaya cz naona watu waliocomment hapo juu are all not friendly...haya tueleze, why did it take 18hrs?is that the normal amount of time it takes from Mwz-Dar cz mi sijui..
 
Back
Top Bottom