Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,818
- 209,507
YesUmesema unaweza kupata wakati haupo kwenye hali ya kutoka usingizini, ilikuwaje?
Utokea pale unapotaka kuingia usingizini
YesUmesema unaweza kupata wakati haupo kwenye hali ya kutoka usingizini, ilikuwaje?
Mkuu, huu sio ujinga! Hizi lucid dreams zina faida, na si kila mtu anaweza kuziota kimazoea! Bali wanaochukua muda wao kwenye tahajudi ndio wanaofaidika na hivi vitu!Badala ya kuwaza jinsi gani utapata pesa zaidi unawaza jinsi gani utalala zaidi na kuota ndoto za kijinga zenye watu unaowataka?kweli binadamu tunatofautiana
HahahaMkuu unataka hela ukatoe sadaka, hahahahaha.
Nalog off Z