Nilifanya haya kutengeneza ndoto za lucid

Hii inanikumbusha movie ya Inception.
Mara chache sana huwa napata lucid dream nakumbuka mara ya mwisho nilipoota nipo sehemu ambayo nilishahama basi hapohapo nikagundua kwamba hapa naota wala sio kweli. Nikajaribu kupaa na ni kweli nilipaa lakini control ilikuwa ngumu kidogo.

Nikajaribu kujichana na glass na ni kweli maumivu niliyasikia tena sio ya mchezo nikajikurupusha fasta.
Mara nyingi hutokea pale ambapo naanza kusinzia huku ukifanya imagination mara unashangaa kila kitu kinaanza kwenda chenyewe bila uamuzi wako nadhani hapa ndipo subconsciousness inapoanza kutake control.
 
Mkuu huna kazi ya KUFANYA hadi uwaze Hayo!!
Mkuu kwahiyo wewe unafanya kazi masaa 24 bila kulala hata siku moja?
Haya mambo yanatokea wakati umelala.

Watanzania bado sana kwenye mambo ya kutafuta knowledge.
Utakuta mtu anauliza NASA inapata faida gani kufanya space exploration.
 
Hii inanikumbusha movie ya Inception.
Mara chache sana huwa napata lucid dream nakumbuka mara ya mwisho nilipoota nipo sehemu ambayo nilishahama basi hapohapo nikagundua kwamba hapa naota wala sio kweli. Nikajaribu kupaa na ni kweli nilipaa lakini control ilikuwa ngumu kidogo.

Nikajaribu kujichana na glass na ni kweli maumivu niliyasikia tena sio ya mchezo nikajikurupusha fasta.
Mara nyingi hutokea pale ambapo naanza kusinzia huku ukifanya imagination mara unashangaa kila kitu kinaanza kwenda chenyewe bila uamuzi wako nadhani hapa ndipo subconsciousness inapoanza kutake control.
Nilikuwa naota halafu nasema kabisa hapa naota. Kweli nikitaka kupaa nikawa napaa, nikisema 'aagh! Hii ndoto mbaya ngoja niamke nianze upya', basi naamka kweli. Hiyo nayo ni lucid? Na je, naweza kubuild kuanzia hapo?

Na pia kuna wakati nasema kabisa leo nataka niote kuhusu jambo fulani na inakuwa
 
Mimi najua formulae flani flani tu, mf. Ukiandika herufi flani ukaweka chini ya mto utaota ndoto Fulani.
 
Hii inanikumbusha movie ya Inception.
Mara chache sana huwa napata lucid dream nakumbuka mara ya mwisho nilipoota nipo sehemu ambayo nilishahama basi hapohapo nikagundua kwamba hapa naota wala sio kweli. Nikajaribu kupaa na ni kweli nilipaa lakini control ilikuwa ngumu kidogo.

Nikajaribu kujichana na glass na ni kweli maumivu niliyasikia tena sio ya mchezo nikajikurupusha fasta.
Mara nyingi hutokea pale ambapo naanza kusinzia huku ukifanya imagination mara unashangaa kila kitu kinaanza kwenda chenyewe bila uamuzi wako nadhani hapa ndipo subconsciousness inapoanza kutake control.
Something like sleeping paralysis or?
 
Something like sleeping paralysis or?
Not really.
Sleep paralysis ni hali ya inayotokea wakati unaamka kutoka usingizini lakini unashindwa kumove au kuongea pia sometimes unakuwa una hallucinate mambo ya kutisha.

Unapokuwa umelala na kuota unakuwa hautambui kwamba unaota na kila kitu ndani ya ndoto kinaenda bila ya will yako means unadhani kinachotokea ni kweli.
Lucid dream ni wakati umelala kabisa usingizi mzito na unaota kawaida except unakuwa uko aware kwamba mimi naota na nimelala.
Hivyo unakuwa na uwezo wa kufanya chochote na kuendesha ndoto unavyoweza.

Ni kama video game ndani ya ndoto.
 
Lakini wakati mwingine sleeping paralysis inaweza kutokea ukiwa haupo katika kuamka.
Inatisha sana 🤣

Kwahiyo lucid dreams ni controllable!! Na ninaweza kuipeleka nitakavyo!! Okay 👍
 
Nilikuwa naota halafu nasema kabisa hapa naota. Kweli nikitaka kupaa nikawa napaa, nikisema 'aagh! Hii ndoto mbaya ngoja niamke nianze upya', basi naamka kweli. Hiyo nayo ni lucid? Na je, naweza kubuild kuanzia hapo?

Na pia kuna wakati nasema kabisa leo nataka niote kuhusu jambo fulani na inakuwa
Ndio yenyewe hiyo mkuu.
Movie ya inception concept yake imekaa kifiction zaidi na sidhani kama ni practical hivyo maswala ya kubuild cathedrals sidhani kama yanawezekana.
Ila siku nikipata bahati lucid dream ikanitokea tena basi nitajaribu kubuild na kucommunicate na zile projection zangu.

Lucid dream ni uwezo wa kutambua kwamba sasa hivi naota hivyo kwa definition hiyo yeah hiyo ni lucid dream.
 
Lakini wakati mwingine sleeping paralysis inaweza kutokea ukiwa haupo katika kuamka.
Inatisha sana 🤣

Kwahiyo lucid dreams ni controllable!! Na ninaweza kuipeleka nitakavyo!! Okay 👍
Well, sleep paralysis inaweza kutokea either wakati unaanza kuamka au unaanza kuingia usingizini.
Umesema unaweza kupata wakati haupo kwenye hali ya kutoka usingizini, ilikuwaje?
 
Badala ya kuwaza jinsi gani utapata pesa zaidi unawaza jinsi gani utalala zaidi na kuota ndoto za kijinga zenye watu unaowataka?kweli binadamu tunatofautiana
 
Back
Top Bottom