Nilifanikiwa kufungisha ndoa

Nilifanikiwa kufungisha ndoa

Roca fella

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2023
Posts
2,076
Reaction score
4,162
Hiki kisa naeleza hapa ni nyakati zili kwisha kuyoyoma.
tangu enzi za elimu yangu ya msingi nilikuwa natumia mmea wa uzima, yaani kilevi Cha bangi.

hii ni kulingana eneo la jeografia niliyo ishi, vitu vingi nilijifunza mapema hasa ule urafiki na marasta wakati ule ungali mvulana mdogo.

Baadhi ya wanafunzi walitambua Mimi ni mshirika mkubwa wa matumizi ya mmea wa uzima, wengine walidiriki kuungana nami.

mmoja Kati ya warembo nilio soma nao shule ya msingi, nilibahatika kukutana nae kwa mara nyingine katika moja ya jiji hapa Tz.

kwa bashasha tulisalimiana, tukaongea mengi, akanipa mkasa wake mzito, kuwa yeye ni msagaji, alifunzwa katika shule za bweni kipindi akisoma sekondari.

ni zaidi ya miaka 10 anashiriki usagaji, amepata mwanaume anahitaji kumwoa, yeye yupo tayari na ndoa, tatizo ni ule mchezo mchafu anao shiriki je ataacha kweli.

Nilimweka kitako nikamsema, nikamkanya, nikamshauri, nikamwelekeza, uzuri alikuwa tayari kuacha, pamoja na hayo nilimshawishi atumie mmea wa uzima, kwani utamsaidia yeye awe huru, mwenye kutakasika, mwenye mwelekeo sahihi.

baada ya siku 120, binti alikuwa teja wa mmea wa uzima japo alitumia kwa Siri mno kuficha uhusika wake, alinieleza amefanikiwa kuacha usagaji, haikuwa rahisi ila aliweka nia, nikamjaza ile Imani za rastafari na mmea wa uzima ukachukua nafasi yake kumsafisha ubongo wake.

Majira yalizidi kuyoyoma, nikapokea taarifa za kufungwa pingu za maisha, yule binti mrembo na mchumba wake, bila hiyana nilihudhuria bila kukosa, baada ya ndoa akiwa fungate na mwenzie, alinipa ujumbe kupitia simu.

nimeshangaa kuacha usagaji na kuwa mvuta bangi, sasa naenda kuitwa mama, siamini nacho kiona, nikushukuru nawe kwa imani zako za rastafari, ushauri na kujitoa kwako nimebadilika Sasa.

Ushauri, matumizi ya mmea wa uzima ni hatari kwa ubongo wako endapo una shida ya ubongo, sio kila mwanajamii atumie,
usitumie kwa mkumbo, itakupa madhara,

namalizia kusema, nilifanikiwa kufungisha ndoa kwa ushauri, utaratibu, na imani hasa matumizi ya mmea huchangia asilimia 54%

86d8d864e297ed562c6728cbdca000ba.jpg
 
View attachment 2635462
"Mmea wa uzima" nakubali
 
Hv utajuaje kuwa kichwa chako hakiendani na huo mmea kabla ya kuwa chizi
inategemea unavuta bangi gani stativa au indica,
huwezi kuwa chizi kwa kuvuta bangi.

anza kidogo kidogo, leo robo pisi, kesho nusu pisi, kesho kutwa pisi moja, mtondo go unavuta pisi 2, mpaka baadae kwa siku utakuwa unavuta pisi 12.

kuipa ubongo chakula... 😁🙃🙌
 
Samtaimu sio kuchanganyikiwa hata.

Bangi inarudisha mtu kwenye asili

Anaacha vitu abstract and vague anarudi concrete and basic.

Sishangai huyo mdada kuacha kisichoasili na kuwa mwanamke asilia. Ndo kawaida ya bhangi.

Kinachofanya watu waonekane wamechanganyikiwa ni kwa sababu yapo mambo mengi tu sio asili ila ukiyakataa ghafla watu wanakuona umechanganyikiwa!🤔

Mfano ikala bhangi halafu ukatambua kwamba hitaji la kutafuta hela above everything sio la asili. Ukiacha kazi nzuri inayokupa hela na kukuibia muda na afya, wananzengo tutaona umechanganyikiwa.
Kwahyo wanaochizika wanakuwa wehu huwa ni kitu kingine kinawapata na sio bangi
 
Samtaimu sio kuchanganyikiwa hata.

Bangi inarudisha mtu kwenye asili

Anaacha vitu abstract and vague anarudi concrete and basic.

Sishangai huyo mdada kuacha kisichoasili na kuwa mwanamke asilia. Ndo kawaida ya bhangi.

Kinachofanya watu waonekane wamechanganyikiwa ni kwa sababu yapo mambo mengi tu sio asili ila ukiyakataa ghafla watu wanakuona umechanganyikiwa!🤔

Mfano ikala bhangi halafu ukatambua kwamba hitaji la kutafuta hela above everything sio la asili. Ukiacha kazi nzuri inayokupa hela na kukuibia muda na afya, wananzengo tutaona umechanganyikiwa.
Uache kazi utakula nini,binadamu ni lazima afanye kazi,ukiacha kazi hata watoto wadogo watakuona chizi
 
Safi, umeupata vizuri mfano;

Lakini sio lazima kuwa dramatic hivyo. Labda anaacha kwenye kampuni anaamua kuwa mkulima, au mshona viatu, sendo na shanga. Rasta.

Bro kuna jamii ambazo tu ukiacha kusali au ukabadili dini wanakuona umechanganyikiwa. Mbaya zaidi ukaanza kuhubiri hiyo imani yako mpya.

Sasa bhangi inakupa ujasiri wa kuwa wewe orijino ndo maana ni rahisi kuhusianishwa na kuchanganyikiwa
 
Sijawahi vuta bangi Wala sigara

Hata pombe sio mnywaji kivile last time kunywa pombe mwezi wa kwanza 3 huko Nina miezi 2 Niko sober.

Sometimes huwa naweza Kaa miezi 6 bila kuwa karibu na chupa ya bia.

Mimi napenda msosi ya kula kula

Napenda kula msosi mzuri wenye kuleta his Fulani rohoni na mtamu.

Sema ni mdau wa kutukuka wa Yale mambo yetu yaleeeee...
 
Back
Top Bottom